Super shafti imechemsha, NIFANYEJE?!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, kifupi huwa nachemsha.

Nilienda hospital kwa matibabu dokta akanishauri nitumie super shaft kwan huwa inasaidia kiasi fulani kuongeza nguvu. Nimezitumia sana sana bt hazifanyi kazi kabisa, tatizo lipo pale pale na huzuni zangu zinazidi kukua siku hadi siku.

Ninahofu ya kukimbiwa na mpenz wangu, hapa niliposina jinsi, naombeni ushauri wenu juu ya hili.
 
Nitarudi b'dae kwa ushauri.
Kuna sehemu niliona wameelezea hili suala. Ngoja nikadese.
 
Fanya uzame kwa babu mkuu...juzi kasema hata hilo tatazo ful kutibika na mgariga
 
Hii thead iko mara mbili sijui nichangie hapa au kule kwingine??

Haya nachagua hapa fanya mazoezi
 
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, kifupi huwa nachemsha. Nilienda hospital kwa matibabu dokta akanishauri nitumie super shaft kwan huwa inasaidia kiasi fulani kuongeza nguvu. Nimezitumia sana sana bt hazifanyi kazi kabisa, tatizo lipo pale pale na huzuni zangu zinazidi kukua siku hadi siku... Ninahofu ya kukimbiwa na mpenz wangu, hapa niliposina jinsi, naombeni ushauri wenu juu ya hili..

Jaribu Valuu mwisho wa matatizo.
 
Jaribu Valuu mwisho wa matatizo.

Mpatie mwenzako ushauri wa maana. Kama hatumii pombe je? Na kwa nn atumie valuu ilihali ni tatizo ambalo linaweza kutibika kwa njia nyingine. Acha hz bana FL80
 
. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, huwa nachemsha. ..
Duh! Pole ndugu yangu. Najaribu kuvaa viatu vyako havinienei, you must be stressed sana na janga hili.

Ngoja nikadese.

Tumsubiri Husninyo na desa lake kwanza tutaanzia hapo, meanwhile ngoja tujenge taifa.
 
Tafuta daktari mwingine kwa ushauri zaidi, pia jaribu na supu ya pweza.....lol...
 
kul karanga kwa wingi supu ya pweza, fanya mazoezi gida maji ya kutosha,pia toa hofu hyo kichwani mwako maana mwisho litakuwa tatizo la kisaikologia,,,,,pole mwana
 
punguza msongo wa mawazo lalavizuri,kula vyakula vyenye protini kwa wingi, usifululize kuifanyia shafti yako mazoezi punguza fanya japo mara 1 kwa mwezi, ukishindwa nenda kwa babu kama ulivyo shauriwa hapo mwanzo
 
1) Mayai ya kuku wa kienyeji mawili, unatowa ute kinabaki kiini tu (manjano).

2) Samli safi ya Ng'ombe ya kienyeji na si ya makopo. Vijiko viwili vya chakula.

3) Sukari guru vidonge viwili saizi ya kijiko cha chakula.

4) Asali vijiko viwili vya chakula.

Changanya hivyo vitu pamoja na kula vyote kabla hujala kitu asubuhi, usile kitu mpaka saa sita mchana, hata maji usinywe. Saa sita mchana funguwa kinywa kwa vipande viwili au vitatu vya matikiti (ukipata ya kienyeji ndio mazuri zaidi). Baada ya kula matikiti kaa saa moja nzima usile kitu, baada ya hapo kula upendacho, avoid vyakula vya mafuta.

Endelea na hiyo tiba kila siku, zisipinguwe siku 90 lakini ukiona ndani ya siku hizo 90 mambo yamebadilika unaweza kusitisha na kutazama hali ikoje.

Husninyo, unasemaje kuhusu hii tiba, uliwahi kuisikia?
 
haswaaaaaaa usipotafuta suluhisho utakimbiwa lol kama yule anayetaka kumwacha mchuchu wake kwa sababu yuko kwaresma amesitisha huduma kwa wateja!!

ushauri wa huyo dr aliyekushauri utumie supershaft naona kama nguvu za giza!!!

Tulia humu utaona maushauri ya maana utakayopewa, na ufanyie kazi kweli, utaona mabadiliko.
 
Babu wa Loliondo ameona "uhanithi" ni tatizo ameongeza kweli list ya magonjwa yanayotibiwa na "kikombe" chake chagu ni lako kuuchemsha mugariga au kwenda kunywa mara moja kwa babu
 
Asanteni sana kwa ushauri, pweza, karanga, mazoezi etc nafanya sana i guess naitaji kwenda Loliondo. WIKI ILIYOISHA NILIKUNYWA SUPU YA UYOGA BT TATIZO NOT SOLVED! DAH!
 
Back
Top Bottom