Sumry aendelea kuongeza gari baada ya vifo vya mohamed trans

Mar 6, 2010
74
0
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo
 
baada ya kubadili jina na kujiita na sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo

ulitaka kuongea kiswahili?
 
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo

We Mkandala una uhakika na habari zako?
Sumry Class na Mohamed Trans ni kampuni mbili tofauti kabisa, hata ukienda BRELA ambao ndio wanaosajili majina ya kampuni rekodi zinaonesha hivyo. Kama una maelezo tofauti na haya thibitisha kwa vielelezo.
 
Jee huyo Mohammed Trans alirogwa na Sumry asitengeneze magari yake yanayoharibika au kuajiri madereva wazembe ambao pengine ni rahisi kwake?

Tuache visingizio vya kukwepa lawama, ni management tu ndiyo inayofanya mradi wo wote ule uwe wa usafiri au kiwanda uwe endelevu.

Tabia yetu sisi Watanzania ni kukurupuka na kuanzisha miradi bila ya kufanya utafiti au kuwa na ujuzi wa jinsi ya kuendesha mradi ule. Tukishindwa tunaanza mizengwe ya kurogwa.
 
Major Mkandala,
Nijuavyo mimi SUMRY ni kampuni ya zamani na imekuwepo pengine kabla ya Mohamed Trans. Sasa mimi sielewi unaposema Mohamed Trans kabadili jina. hebu fanya utafiti kidogo.
Labda ingeingia akilini iwapo Mmiliki wa haya makampuni ni mtu mmoja.
 
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo
Yaani baada ya kusoma posti yako................. nilichoelewa ni kuwa UNA IMANI KUBWA SANA NA USHIRIKINA................... na huyo mmoja aliyesema kuhusu vichwa vitano ni wewe
 
nahisi hii habari ifanyiwe kazi tena na iwe published upya maana naona mnatuchanganya wana jamii...
watanzania na mitazamo yao kidogo havileti maana juu ya ndumba!!
 
Sumry sio Mohammed Trans mkuu! Kama huna information za kutosha usikurupuke kutoa mada usizo kuwa na uhakika nazo.
 
Sumry sio Mohammed Trans mkuu! Kama huna information za kutosha usikurupuke kutoa mada usizo kuwa na uhakika nazo.

Kwa sheria za JF, huyu anahitaji ban kwa kuleta habari za uzushi ambazo hajaweza kuzitetea uhalisi wake. Ameleta mada tata na amekaa kimya bila kuitetea na anaoneka yuko online muda huu!
 
Kwa sheria za JF, huyu anahitaji ban kwa kuleta habari za uzushi ambazo hajaweza kuzitetea uhalisi wake. Ameleta mada tata na amekaa kimya bila kuitetea na anaoneka yuko online muda huu!

Achaneni naye mwanga huyo....Kaathiriwa na imani za kishirikana,msameheni bure
 
Hivi ni vijimambo tu
Next time kuwa mwangarifu kwa habari zote unazotuwakilishia hapa jamvini ..
 
huyo jamaa ni mshirikina , yani hata maji usimpe maana anweza kuumwa akasema umemloga< mohd trans ni mtu wa shinyanga na sumri uliza utapata jib au neda ubungo wapiga debe watakwambia m, acha imani za kijinga, AMIN MUNGU.
 
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo

Naamini umetumwa kuja kumchafua Sumry wewe.
Sumry hana uhusiano wowote na Mohamed trans na Sumry hajawahi badili jina toka enzi hizo ana fanya safari zake za Mbeya to Sumbawanga mpaka Mpanda alikuwa anatumia jina hili hili baadae biashara ilivyo tanuka ndo akaongeza njia nyingine na anazidi kuongeza njia kila kukicha> Sumry ameshika sana njia ya kusini huku ana vibus vidogo vinavyo kwenda Iringa- Songea, Songea-Mbeya, Mbeya-Iringa. Sumry kwa sasa yupo juu kwa huduma za mabus muulize Kaizer na Chrispin walifaidi huduma zake.
 
major mkandala
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sat Mar 2010
Posts: 68
Thanks: 4
Thanked 18 Times in 11 Posts

Mods mtu kama huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua tunaomba nidhamu ichukue nafasi, alicho andika hapa ni uzushi
 
no research no right to talk. be sure of credibility and reliability on the info you want to share with the forum!!
 
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo

hawa ndio ma great thinker wetu hapa JF... no research no right to speak!nijuavvyo mimi hawa Sumry walijizatiti na barabara za nyanda za juu kusini hadi majuzi wakaamua kujitanua TZ nzima, kwa sasa nadhani hii ni kamouni bora ya mabasi TZ.
 
Back
Top Bottom