Sumry aendelea kuongeza gari baada ya vifo vya mohamed trans

Kwa sheria za JF, huyu anahitaji ban kwa kuleta habari za uzushi ambazo hajaweza kuzitetea uhalisi wake. Ameleta mada tata na amekaa kimya bila kuitetea na anaoneka yuko online muda huu!
Fisadi huyu!Habari zisizo na kichwa wala miguu!Ban ban ban!Ban ban ban!
 
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa sumry moja kila mwezi

kazi ipo
Washirikina ndivyo walivyo!Their interpretations of various events in life gravitate towards supersitious beliefs!Shindwaaaaa!
 
major mkandala Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Sat Mar 2010
Posts: 72
Thanks: 4
Thanked 19 Times in 12 Posts
 
Back
Top Bottom