Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 684
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !