Elections 2010 Sumbawanga mjini kumekucha! CCM chali!

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
683
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
 
Hawa wabunge nao, ukishindwa weka sahihi na songa mbele, maisha yanaendelea.
 
mgombea wa ubunge wa ccm amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa chadema, mwl. N. Yamsebo. Chadema tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri chadema itangazwe mshindi !

hawa walipanga hivyo kwa nini wanapingana na ukweli?
 
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
Si alisema atakubali matokeo?
 
Hivi wasipokubali matokeo maisha hayatakwenda? au wamekopa wakijua watazirudisha kinamna?
 
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
Safi wakombe...
 
CCM ndo Aish?

Ndiye huyo.

Sumbawanga, jamani wananchi wake wamepigika kwa ufukara. CCM walianza visa tangu Dr Slaa alipofika S'wanga, Chadema walinyimwa viwanja vya mjini na kupewa uwanja wa mkutano kilomita tatu toka mjini Sumbawanga, siku hiyo wananchi wote walifunga biashara zao, shughuli za nyumbani ziliahirishwa kwa muda. Maandamano makubwa yalionekana barabarani yakielekea uwanja wa mkutano umbali wa kilomita tatu kwa miguu na baiskeli.

Hongereni Sana sana.
 
Jamani tuombe Vurugu zisitokee na matokeo yakubalike

Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu atakayepigwa kirungu. Watu bado wapo nje ya ukumbi wakisubiri CHADEMA itangazwe mshindi !
 
Hawa wabunge nao, ukishindwa weka sahihi na songa mbele, maisha yanaendelea.

Ndugu yangu, hili somo gumu sana kwa watu wengine. Ni kama haki yakuzaliwa vile. Yaani ingekuwa raha kweli leo, huku CCM wanashinda, huku Chadema wanashinda huku CUF wanashinda up to the end. Wote tunacheka na kugongesheana. Miaka mitano inakuja.. lakini wapi...
 
Hali inaanza kubadilika baada ya msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kusema hatatangaza matokeo sasa hivi, hadi saa sita usiku! Cha ajabu matokeo ya urais yametangazwa, ila ubunge anasubiri usiku!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom