Mkuu kwa hiyo magazeti yetu yote hapa Tanzani huwa yanaandika kiarabu?
Kila gazeti linatumia neno Rais
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
Hii ni aibu kwa Kandoro kukataliwa na anaowaongoza, hata wakichimba mkwala kwenye vyombo vya habari lakini wanapokutana maofisini huwa wanaambiana ukweli, tusubiri nyomi la Arusha J3.
Suala si kupendwa tu, je ana sifa na uwezo wa kutekeleza majukumu yake kikamilifu kama mbunge?
Ieleweke kazi ya mbunge sio kufanya mikutano tu na kutoa kauli za kuwafurahisha waliomchagua.
Maendeleo ya kweli hayaji kwa kufanya mikutano kila wakati (hata kama itahudhuriwa na watu milioni ngapi).
Rais ni kiarabu na Raisi ni kiswahili. Neno lolote la kiswahili lazima liishie na vaweli za a,e, i,o, u au wengine husema irabu. Hivyo ni makosa kuandika neno lolote la Kiswahili bila kuishia na vaweli.
Mkiwazuia hawa kusema basi Mungu wetu atayaamuru mawe yaseme. Ni vema tuelewe ndugu zangu kuwa vijana wetu si wa kuendelea kusema ndiyo Mzee haki zao wanazijua. Wanyapara wetu ni lazima waelewe kuwa hao mabwana zao wa nje "wachukuaji" hatawafikisha kokote na kama wakiendelea wataondolewa vitandani kama Watawala wa Kirumi walivyofanywa. Watakatwa shingo kama makabaila wa Kifaransa walivyofanywa licha ya juhudi za watumishi wao kuwasalimisha watoto wao kwa kuwafika magunia na kuwapaka majivu. Kwa mikono yao ilikuwa ni miyoyoro na kigezo hicho kilipotumika hata watoto wao walikatwa shingo. Wanyapara wetu yatawakuta yaliyompata Nduli, Fashisti, Dikteta Iddi Amin Dada, Bokassa, Nguema, Shah, Somoza mwaka 1979(Mwaka wa kuanguka Madikteta na Wadhalimu).to ma pessssssssssssssssssssssssssssss
View attachment 41153
View attachment 41154
View attachment 41155View attachment 41155View attachment 41156
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
Pole kwa wivu mkuu:Suala si kupendwa tu, je ana sifa na uwezo wa kutekeleza majukumu yake kikamilifu kama mbunge?
Ieleweke kazi ya mbunge sio kufanya mikutano tu na kutoa kauli za kuwafurahisha waliomchagua.
Maendeleo ya kweli hayaji kwa kufanya mikutano kila wakati (hata kama itahudhuriwa na watu milioni ngapi).
Da sugu ni presdent wa mbeya ambaye haamini amwulize viongozi wa mkoa mbeya.
Pole kwa wivu mkuu:
hapo red;
JIBU ni NDIYO kwa sababu aliacha kikao cha bunge kuja kuwasikliza wananchi wake ambao: Walimchagua kwa kura za kishindo, Walio mwamini na wanao mwamini hadi sasa. Mi nipo MBY Sugu anakubalika sana ndiyo maana tangu jana hakuna kiongozi aliye jitokeza kuongea nao ili kutuliza gasia za saa zaidi ya 36 Elewa Sugu ni MBUNGE
Hapo blue;
Sasa wewe unataka atoe kauli za kuudhi, kuumiza, kukera wananchi kama " waTz watakula nyasi ila ndege lazima inunuliwe '' Hapa umechemka. Hivi unadhani maendeleo yanaletwa na mtu mmoja ? Ni lazima kucouple mawazo hata ya machinga mkuuuuu
Hapo bold black;
Kwa hiyo we unasemaje, kwa issue kama hii vurugu masaa 36 nonstop hapahitajiki mkutano wa kujadili tatizo na solution zake au unafikiri vikao vya viongozi vinavyoambatana na posho vinatosha ? Ninavyojua mimi maendeleo ya kweli yanakuja kwa kufanya mikutano mikubwa ya pamoja kujadiliana/kuelimishana vipau mbele vya maendeleo kuliko kwa utaratibu huu watu wachache wanajifungia wanagawana posho kisha wanakuja na maamuzi ya kuudhi wananchi kama hawa wa MBY wanao mwaga michele ya akina mama maana ndiyo kiini cha ugomvi
Naomba nikushauri
- Tulia sana kabla huja comment jambo usilolojua vema
- Usitumie mbege inaharibu uelewa wa mambo ya msingi na inakufanya uje na majibu/hoja nyepesi kwenye issue nyeti
- Sugu hakuitisha mkutano wa chama ila machinga ndiyo walio muuita " YATOSHA"