Sugu moto chiniii!!!

Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii

Mbona unakimbilia ku judge,"walimshangilia kama msanii" why? unawasemea wao? kwanini basi isiwe kama mbunge? unaonekana una tatizo zaidi la kibinafsi nae
 
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.

Wivu mbaya sana wakuu
 
Jamani anaekataa umuhimu wa Mh Mbilinyi mbunge wa Mbeya mjini hakika wanatatizo la kifkra na wanatatizo pia kwenye mioyo yao na dhamira zao ni za kishetani,nawashauri wapitie blog ya Mbeya yetu.com waone picha za umati ulikuja kumsikiliza mbunge wao aliekuwa anasubiriwa kuleta amani ndani ya jiji la Mbeya,mkuu wa mkoa Kandoro hakusikilizwa na watu anaowaongoza wala mkuu wa wilaya Balama leo alipotaka kuongea wananchi wakasema hakukusanyika kumsikiliza yeye ikalazimika akae,na ndipo alipoanza mbunge wao kuhutubia.umati huo sio kitu cha kubeza,na amani iliyorudishwa kwa juhudi za Mbilinyi sio za kubezwa,kumbuka polisi jana walielemewa na ikabidi JKT kuingilia kuwasaidia hata leo JWTZ walikuwepo kuongeza nguvu ya usalama hasa baada ya kuona watu wamekuja kwa wingi sana.sasa nyie mnaohangaishwa na roho za kutu,za wivu,za kinafiki na msiokuwa hata na aibu mnabeza mambo aloyafanya Sugu jijini mbeya,kweli hii ni hatari ya CCM.Nendeni mkamuulize Kandoro na Balama watawaambia mziki wa mbeya,mapambano yalikuwa si mchezo,serikali ya mkoa na CCM yote walishindwa kuumaliza wala kuwatuliza wananchi wa Mbeya.
JIFUNZENI KITU JUU YA TUKIO HILI SIO KUBISHA KAMA WENDAWAZIMU
 
Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii

we hunaona Gele tu una lolote sugu SUGUA Baba magamba yote kwisha
 
Hivi unajua ni kwa nini hii mikoa ina vurugu? ni kwa sababu wabunge wake nao ni vurugu, hawana busara na zaidi ni VILAZA kwa hiyo bila kufanya hivyo CDM itawatema mwaka 2015. Hujiulizi kwa nini ROMBO, DAR, KIGOMA na kwingine ambako kuna wabunge wa CDMA hakuna vurugu? Hawa ni watu ambao wamekotwa mitaani kwenda kuwa wabunge, so itachukua muda wananchi wa mikoa hiyo kupata maendeleo kwa vile VILAZA wao wanatafuta umaarufu ilil waweze kurudi tena mwaka 2015. Waulize wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa LEMA, WENJE NA SUGU wamefanya nini katika majimbo yao mbali na migomo na maandamano.

Inaonekana unahasira sana kwa jinsi SUGU anavyo kubalika,
 
Jamani anaekataa umuhimu wa Mh Mbilinyi mbunge wa Mbeya mjini hakika wanatatizo la kifkra na wanatatizo pia kwenye mioyo yao na dhamira zao ni za kishetani,nawashauri wapitie blog ya Mbeya yetu.com waone picha za umati ulikuja kumsikiliza mbunge wao aliekuwa anasubiriwa kuleta amani ndani ya jiji la Mbeya,mkuu wa mkoa Kandoro hakusikilizwa na watu anaowaongoza wala mkuu wa wilaya Balama leo alipotaka kuongea wananchi wakasema hakukusanyika kumsikiliza yeye ikalazimika akae,na ndipo alipoanza mbunge wao kuhutubia.umati huo sio kitu cha kubeza,na amani iliyorudishwa kwa juhudi za Mbilinyi sio za kubezwa,kumbuka polisi jana walielemewa na ikabidi JKT kuingilia kuwasaidia hata leo JWTZ walikuwepo kuongeza nguvu ya usalama hasa baada ya kuona watu wamekuja kwa wingi sana.sasa nyie mnaohangaishwa na roho za kutu,za wivu,za kinafiki na msiokuwa hata na aibu mnabeza mambo aloyafanya Sugu jijini mbeya,kweli hii ni hatari ya CCM.Nendeni mkamuulize Kandoro na Balama watawaambia mziki wa mbeya,mapambano yalikuwa si mchezo,serikali ya mkoa na CCM yote walishindwa kuumaliza wala kuwatuliza wananchi wa Mbeya. JIFUNZENI KITU JUU YA TUKIO HILI SIO KUBISHA KAMA WENDAWAZIMU
Kweli ndugu wabonyeze hapa Mbeya Yetu
 
Walimshabikia ni wahuni wenzake.


mkuu+wa+wilaya.JPG
mwanjelwa+hoyeeee.JPG
halaiki.JPG


sugu.JPG
 
Sugu wakimbize bro, waoneshe yule walemwita muhuni ndio kaleta amani tena kwa kuombwa, wale walojiita waungwana wanajificha. Mabomu na risasi ziliisha wakaagiza mikoa ya jirani lakini bado wakashindwa, Maneno ya busara ya Sugu yamerejesha amani. Live Long Sugu

Dah! hii ni funika bovu!!
 
Maelfu ya wananchi waliofika kuusikiliza mustakabali wa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama machinga kuendelea na biashara zao katika maeneo yao ya awali, wakati utaratibu ukiandaliwa na halmashauri ya jiji la Mbeya.
 
Vipi Kashindye Igunga alivyokuwa anajaza watu kwenye mikutano yake...
 
Ile picha ni ya kipindi kile cha kampeni siyo ya leo.
Watu wamesema wameona ktkt TV anaongea...Acha wivu hivi wewe unaumia nini s\uGU kupendwa na wapiga kura wake? watu wakiamua kujaa kumsikiliza wewe hapo ulipo unaumizwa na nini...Hivi SUGU akikosawatu kwenye mkutano, watu utafaidika nini?..Amka acha wivu wa k.i.j.i.n.ga. jamaa kashakuwa Mbunge, hata aliyeshindwa Mpesya anajua kuwa alishindwa Fair and square ndio maana hata Malalamiko wala kesi hakuna.kama uliumia sana na ushindi wake, bad for you, you have to waitfor the next 4 years...kasaidie kampeni.
 
Sugu moto chiniii, dah kweli roho yangu ina raha sana kona watu wamehamasika namna ilee!! Mbeya juu chapeni hiyo kibaraka inaitwa Kandoro! na bado CCM lazima tuwatimue km mkoloni
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom