Bait Member Mar 17, 2012 24 0 Apr 2, 2012 #1 dent m1 aliambiwa aandke alama za barabarni iweke kwenye bararbara iptayo shulen kwao akaandika tafadhari endesha kwa uangalfu na ucwangonge wanafunzi subiri walimu
dent m1 aliambiwa aandke alama za barabarni iweke kwenye bararbara iptayo shulen kwao akaandika tafadhari endesha kwa uangalfu na ucwangonge wanafunzi subiri walimu
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Apr 2, 2012 #4 Bait said: Ndo hvyo mwaya Click to expand... kama mi ndo mwalimu wake namkata shingo!
toghocho JF-Expert Member Mar 16, 2011 1,172 198 Apr 3, 2012 #6 hahahahahahahahahahaha dogo mkareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
M Mahmoud Qaasim JF-Expert Member Nov 3, 2007 923 264 Apr 4, 2012 #9 sijakupata, subiri mwalimu hapo inaeleza nini ???????????????????
Maayo JF-Expert Member Jul 21, 2011 317 48 Apr 4, 2012 #10 Mahmoud Qaasim said: sijakupata, subiri mwalimu hapo inaeleza nini ??????????????????? Click to expand... Mbona inaeleweka? Hyo inamaanisha asubiri walimu ndio uwagonge usigonge wanafunz.
Mahmoud Qaasim said: sijakupata, subiri mwalimu hapo inaeleza nini ??????????????????? Click to expand... Mbona inaeleweka? Hyo inamaanisha asubiri walimu ndio uwagonge usigonge wanafunz.
Bait Member Mar 17, 2012 24 0 Apr 4, 2012 Thread starter #11 Mahmoud Qaasim said: sijakupata, subiri mwalimu hapo inaeleza nini ??????????????????? Click to expand... Yan acwagonge wanfnz ila awngonge walimu!
Mahmoud Qaasim said: sijakupata, subiri mwalimu hapo inaeleza nini ??????????????????? Click to expand... Yan acwagonge wanfnz ila awngonge walimu!
Wa kusoma JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,454 2,975 Apr 4, 2012 #12 Bait said: Yan acwagonge wanfnz ila awngonge walimu! Click to expand... Awagonge walimu??? Wa kike ama wa kiume??? Mbona hamsomeki awagongeje? Au mnamaanisha kuwagonga ipi wakuu mm niko mbali sana.
Bait said: Yan acwagonge wanfnz ila awngonge walimu! Click to expand... Awagonge walimu??? Wa kike ama wa kiume??? Mbona hamsomeki awagongeje? Au mnamaanisha kuwagonga ipi wakuu mm niko mbali sana.
Bait Member Mar 17, 2012 24 0 Apr 4, 2012 Thread starter #13 Wa kusoma said: Awagonge walimu??? Wa kike ama wa kiume??? Mbona hamsomeki awagongeje? Au mnamaanisha kuwagonga ipi wakuu mm niko mbali sana. Click to expand... Hauko mbli ila unfkiria mbal mzaz.... inamaana kuwagonga na gari
Wa kusoma said: Awagonge walimu??? Wa kike ama wa kiume??? Mbona hamsomeki awagongeje? Au mnamaanisha kuwagonga ipi wakuu mm niko mbali sana. Click to expand... Hauko mbli ila unfkiria mbal mzaz.... inamaana kuwagonga na gari