Suala la Kizushi

Vishawishi havikosekani, swala ni jinsi ya kupambana na vishawishi.

Klowo pole kwa kuibiwa Seiko..du! inabidi ujipange kununua saa nyingine, nunua Rolex..! Afu umepoteaaa!
Dah BJ nikajuwa ushapata zali Ashley Young kakuchukua jumla, umepotea pia bana sio pekeangu.
Bek to topik

Hivi mpenzi ambae akili yako inakwambia ana mapenzi ya dhati na wewe, unaweza ukavipa nafasi vishawishi katika kumhukumu kosa alilokutenda?
suala langu liko hapo BJ.

Hapa petu saa zinaibiwa sana bana, yaani hatuna hofu na waifu zetu saaana lakini balaa liko wakikuona na saa tu imekula kwako, wanazifanyia ushirikina saa za seiko
 
Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation
Asante mkuu ila nifafanulie kidogo.
Unakusudia kusema mwenye penzi la dhati hawezi kuanguka kwenye kishawishi?
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Kwa nini temptation zisiwepo? zipo sana tu mkuu,
Ila uwezo wako wa kuzishinda ndio litaonesha kua penzi ni la dhati.
Not only kuzishinda mwenyewe ila kumuhusisha pia mwenzio
whether she knows it or not, katika mpango mzima wa kushinda temptation

Nakubaliana na wewe asilimia mia, kuwa km temptations zimekuja, vp umezishinda? Vp umemshirikisha yule umpendae kwa dhati kupambana nazo?

Big up TAZ
 
Pengine ninaweza kuwa tafauti na hiyo nyekundu. Kwangu mimi penzi la dhati ni lile linaloambatana na "loyalty" zaidi kuliko "honesty". Inapobidi, kwa kutumia vigezo vya penzi la dhati, ninaweza kusamehe mtu "unfaithful" kuliko "disloyal".
Mkuu kuna kitu najifunza sana kupitia hizi post zako, endelea kumwaga razi
 
one night stand akiwa kwenye ulevi havisumbui
nitaona haikuwa intensional
lakini ile anamsotea mtu mwaka
afu aseme kishawishi simwelewi

nampiga na mwiko tu
heheheeh Dah! Fellow tablet imekula kwake
 
Klorokwin

We have a choice ..
Kila kitu tunachokifanya dunia hii ni uchaguzi wetu ..(ukiacha vitu kama ubakaji )..

Temptation. Ziko kila kona, huyu jamaa Ana six pack wangu Ana kitambi sijui Ana BM wangu bado anasukuma baiskeli ya 1947..

If you maneged to go beyond physical appearance, or things that pulled you away from your love then your the winner ..

Dammn
nakufuta chitchat hapa unawaza sana ..staki
Leo siku ya saba mapumziko ..lol
 
mazingira hatuyapi nafasi kwasababu mara nyingi aliyetenda kosa anakuwa alishaacreate mazingira ya hilo kosa kutokea. Lawama zote lazma ziende kwake.
Jibu fupi lakini limebeba ujumbe mzito sana. Nataka kuuliza zaidi lakini inabidi nijipange kidogo.
Labda suala la haraka haraka, unakusudia kusema ili kulidhibiti penzi la dhati inabidi ujiepushe na baadhi ya mazingira? hebu nipe mfano wa mazingira ambayo tujiepushe ili kulilinda penzi la dhati lisishawishike.
 
Mkuu kuna kitu najifunza sana kupitia hizi post zako, endelea kumwaga razi
Hata mimi ninajifunza kila mara nikiangalia signature yako "....life (is) a joke". Ikiwa utachukulia kila kitu too serious, utaishia kufa kwa presha au ikiwa utapona utabakia kuwa mpweke daima.
 
Kwanza Mrs Kaizer kabla kwenda kwenye mada napenda kukujulisha kwamba wewe hata ukipotea tena mwaka mzima usihofu kuhusu mwali kabisaaa, yuko salama na mlinzi niko makini sana na nashkuru imani alonipa Mungu, yaani akienda bafuni basi mi nafumba macho yote, kwavile nimelinda vizuri mwali naomba na husninyo mnikabizi nimlinde manake nimegundua bishanga anamnyemelea.

Bek to topik: Yaani Ashadii wewe ndio umenielewa hasa na nimekupata 100% na hii thread ni ya kwangu lakini nataka kujifunza sth so acha nikusanye maujuzi kutoka kwa wengine.

Nilikumiss pia, mpaka nikajishtukizia waifu wa bosi apa kazini namuita Ashadii

Yaan Klorkwin wewee..... naomba tu niseme further discussions will be held kwa yoote ulotaja hapa..lol.. Do take care...
 
Asante sana Mkuu. Bado ningependa kujua msimamo wako kuhusu hili: Yes I did, but she/he meant nothing to me" -je mpenzi wako akikuambia hivyo, utachukua uamuzi gani?
Dah! mkuu unajua hapa mimi ni mwanafunzi na nisingependa kuonesha niko wapi ili niichote elimu ya pande zote mbili.
Lakini hiyo sentensi ni ya kuheshimiwa at the same time inaumiza. Full Dilemma
 
weee, husy huwajui wanamme?
Akisafiri 2weeks umeliwa
usiongelee kaenda kozi miezi 6 hadi mwaka
anaoa kabisa

vinginevyo atarudi ina kutu
si unajua kutu haina dawa ikishatokea??
Sasa hiki ni kisingizio halali kabisa.

najua wanaume washxyz... Kila wanapoenda lazma watafte vipoozeo. Kazi ipo.
 
Klorokwin

We have a choice ..
Kila kitu tunachokifanya dunia hii ni uchaguzi wetu ..(ukiacha vitu kama ubakaji )..

Temptation. Ziko kila kona, huyu jamaa Ana six pack wangu Ana kitambi sijui Ana BM wangu bado anasukuma baiskeli ya 1947..

If you maneged to go beyond physical appearance, or things that pulled you away from your love then your the winner ..

Dammn
nakufuta chitchat hapa unawaza sana ..staki
Leo siku ya saba mapumziko ..lol
heheh hapo red apo. Will u marry me?

Nakuja chit chat mida si mirefu niandalie vile viuwa vyako vinavyobling bling na jina la klorokwini ili nikajisifie kijijini
 
Jibu fupi lakini limebeba ujumbe mzito sana. Nataka kuuliza zaidi lakini inabidi nijipange kidogo.
Labda suala la haraka haraka, unakusudia kusema ili kulidhibiti penzi la dhati inabidi ujiepushe na baadhi ya mazingira? hebu nipe mfano wa mazingira ambayo tujiepushe ili kulilinda penzi la dhati lisishawishike.

mazingira yote ambayo yatahatarisha penzi na mfano mzuri ni kuflirt.
 
mazingira yote ambayo yatahatarisha penzi na mfano mzuri ni kuflirt.
On the other hand Flirt halafu ukaweza kujicontrol after flirt haiwezi kweli kukujengea strength. Kuna mtu hapa aliwahi kuandika flirt inasaidia ukirudi kwa mwenza wako uwe much romantic sjui alikuwa right or wrong? Mie sijuuuuui
 
huoni tayari hii ni excuse kwake?kama anamsukuma mlevi, ndo anakijibu kama mdau mmoja alivosema 'she meant nothing to me'

najua wanaume washxyz... Kila wanapoenda lazma watafte vipoozeo. Kazi ipo.
 
On the other hand Flirt halafu ukaweza kujicontrol after flirt haiwezi kweli kukujengea strength. Kuna mtu hapa aliwahi kuandika flirt inasaidia ukirudi kwa mwenza wako uwe much romantic sjui alikuwa right or wrong? Mie sijuuuuui

dah, it depends kloro. Mi nikiflirt huwa najenga hofu if my man is doing the same. Lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom