Story za kwenye DALADALA Special Thread.

mkuu usione hakuna comments za wadau, hii ni dalili kuwa wengi mbavu hatuna! Siku yangu leo imekaa poa sana baada ya kupitia hizi kamba zote, kwa kweli nimepata raha sana. Ubarikiwe, mweeeeh!
 
jamaa alipoomba msaada wa konda kwa kuwa hakuwa na nauli, majibizano yalikuwa kama ifuatvyo:
Abiria: Konda naomba nisaidie nauli sina na isitoshe naenda msibani,
Konda: Kama unadhani usafiri ni dezodezo, basi nenda sheli kanywe lita mbili za dizeli halafu utembee mpaka tegeta toka mwenge
Abiria wengine: Acha lugha ya kifedhuli we konda,
Konda: Mlipieni nauli basi kama mnaona akinywa mafuta atachelewa kufika
Abiria wote: Kimyaaaaaaaaaaaaaa!
 
:lol:

Mambo ya Konda akitangazia abiria wake wanaoshuka kituo Malapa


Konda: Jamani abiria Malapa??

Abiria: Unataka kwenda bafuni?
 
Mpiga debe..oyaa wale wa mbagala kwenye mabomu, kwenye simba leo kuna digidigi..
 
Abiria..jamani we konda mbana hautaji vi2o..?KONDA..kama wataka kutajiwa v2o kapande gari za ubungo..
 
Nimecheka mpaka nimeona raha.... ASANTE Mleta uzi.... This thread deserves a reputation aisee....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom