Ni kwaya ya aina gani?. Kuna kwaya za dini na nyingine siyo za dini. Inaweza kuwa kwaya ya shule, polisi, jeshi n.k.
huwezi kuleta utetezi dhaifu namna hii, ingekua wanenda kwenye maulid ungekua wa kwanza kuja kubwabwaja hapa na milalamo kibaoKumbu kwaya tu!, hujui kwamba zinahubiri amani na upendo na kuasa watu waache maovu, sioni tatizo labda ingekuwa imebeba madumu ya gongo,machangu au magaidi.
Mkuu, rekebisha hiyo tarehe. Ni 21.07.2011 na siyo 21.08.2011chief mi nilikuweko wakati wanafika na hadi walipoanza kufunga mizigo yao, ilikua ni kwaya ya kanisa, walikua wana-shoot video za nyimbo zao, nimeweka nambari ya gari, wahusika wafatilie watajua, kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili tarehe 21.Aug.2012 gari nambari STJ 974 ilikua wapi na nani alikuwa nayo?
chief mi nilikuweko wakati wanafika na hadi walipoanza kufunga mizigo yao, ilikua ni kwaya ya kanisa, walikua wana-shoot video za nyimbo zao, nimeweka nambari ya gari, wahusika wafatilie watajua, kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili tarehe 21.Aug.2012 gari nambari STJ 974 ilikua wapi na nani alikuwa nayo?
Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.
Haya ni matumizi sahihi ya haya magari? picha coming soon!
Mkuu, rekebisha hiyo tarehe. Ni 21.07.2011 na siyo 21.08.2011
vinginevyo uko sawa kabisa.
Mimi ssidhani kama kuna kosa kuazima gari la selikali,kwani wanakwaya sio wananchi? matumizi mabaya ni kama kwenda kwenye ulevi umalaya nk,lakini kuwezesha wananchi kunadhambi gani hapo.
Mkuu, rekebisha hiyo tarehe. Ni 21.07.2011 na siyo 21.08.2011
vinginevyo uko sawa kabisa.
hasira chief, lakini kuna mdau humu anasema ni utaratibu wa kawaida, eti halmashauri kumbe zinaruhusiwa kukodisha magari yao kwa matumizi ya watu, hii ndio nasikia leo
Alafu inaonekana ni gari ya Polisi hiyo.