STJ 974 Iko cocobeach imeleta wanakwaya kurekodi video

Jamani kweli SERA ya UDINI aliyoiasisi JK it is now taking its toll. Mimi ninashangaa Wakiristu kutetea huu ubadhilifu. Gari ya SERIKLAI kweli inachukuwa wanakwaya kwenda ku record nyimbo za dini halafu kuna my fellow Christians wanatetea huu ujinga? THIS IS INSANE OF ITS HIGHEST LEVEL.
 
Tumeziona nyingi tu kama hizo zinabeba majani ya ng'ombe, kufuata mkaa porini na kupeleka house girls sokoni, ninapoona nakumbuka makato ya kodi ktk salary yangu kila mwisho wa mwezi.

kila nikiwaza, KODI roho inauma sana! kuna kitu wengi hawajui, kwa kila laki unayoingiza, elfu 55 (55,000) inarudi serikalini kama kodi, 30,000 kama PAYE na 18,000 kama VAT na 7000 kama kodi na tozo mbalimbali
 
relax GTs, ndege za raisi zenyewe zinakodishwa na mamlaka ya anga kwa matumizi binafsi, iweje defender tena nzee kama iyo, itakuwa imekodishwa kwa hao waimbaji, ..haizuiwi kufuatilia lakini
 
Serikali na Kwaya za injili ni damu damu! Hata kwenye mikutano ya CDM zinapigwa hizo kwaya za injili, mimi sioi tatizo!
 
Itakuwa kuna kibosile mmoja amejitolea. Mwenye makosa sio mwanakwaya aliyepanda gari bali huyo big boss.
 
Serikali na Kwaya za injili ni damu damu! Hata kwenye mikutano ya CDM zinapigwa hizo kwaya za injili, mimi sioi tatizo!

Mbona unachanganya kokoto na mchele? Unasem, serikali na kwaya ni damu damu. Halafu unasema kwenye mikutano ya CDM kwaya zinapigwa.

Tangu lini CDM imeunda serikali? Yale yale ya OIC kuilinganisha na Vatican.
 
1.polisi manyasin hapa nahitaji STJ 974 kuna tukio mabwe mbezi.. ova!!, 2. nimekupata afande hiyo gari iko shooting coco beach..ova..! 1. ok jitahidi mmalize mapema muwahi kwenye tukio.. ova, 2. umesomeka afande ova..!
 
Mimi ssidhani kama kuna kosa kuazima gari la selikali,kwani wanakwaya sio wananchi? matumizi mabaya ni kama kwenda kwenye ulevi umalaya nk,lakini kuwezesha wananchi kunadhambi gani hapo.

hao walevi na wamalaya kwani nao sio wananchi?
 
Wabongo naona kwa hili tutakaba mpaka penati. Kumbe ni kuanzia saa 10 hadi 12 mbona kama muda wa kazi ulisha kwisha? Mtawafanya maofisa wetu waogope kutumia magari haya hata kama ni stahili yao.
 
Wabongo naona kwa hili tutakaba mpaka penati. Kumbe ni kuanzia saa 10 hadi 12 mbona kama muda wa kazi ulisha kwisha? Mtawafanya maofisa wetu waogope kutumia magari haya hata kama ni stahili yao.

kwa hili hata ingekua saa sita mchana, hawa jamaa wako na kesi ya kujibu
 
Mnaona mlivyo wagumu hapo kuleza ukweli, udini, mfumo kristo, hapo ingekuwa waislamu mhh, kila mtu angeanza kwa matusi, ile correlation nilisema humu hakuna mtu alibisha hadi leo, inaoneka kuna uhusiano mkubwa kati ya JF members na CDM na Ukristo, mkiona jambo baya ni la CCM na uislamu, shame on you, miziki ya dansi za kiinjili ndiyo mtumie gari la umma. Ngoja huyu dereva atasema kwa nini, tutamtafuta. Hii si nchi ya wakristo hadi magari ya umma mkaimbie kwaya!
Lete picha. Lakini inategemea ni video kwa ajili ya matumizi ya Ofisi husika. There is a need for more investigation on this!!
 
avatar8733_4.gif
Harufu ya BANGE
Harufu ya udini!
 
Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.

Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?

hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona

View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432

Ndege ya SERIKALI iko hapa Tanga JK amekuja KUFTURISHA, juzi alikuwa Mbeya na Kesho atakwenda Rukwa Kwa ajili ya kufturisha!
 
Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.

Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?

hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona

View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432

Ndege ya SERIKALI iko hapa Tanga RAIS amekuja KUFTURISHA, juzi alikuwa Mbeya na Kesho atakwenda Rukwa Kwa ajili ya kufturisha!
 
Ndege ya SERIKALI iko hapa Tanga RAIS amekuja KUFTURISHA, juzi alikuwa Mbeya na Kesho atakwenda Rukwa Kwa ajili ya kufturisha!

hahahaaaa acha kumtania amiri jeshi mkuu wewe, tena leo bungeni wamepiga biti kali

Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.

Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?

hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona

View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432

Kinachokukera hapa ni matumizi mabovu ya gari la serikali au kwaya?
 
Back
Top Bottom