STJ 974 Iko cocobeach imeleta wanakwaya kurekodi video

Kinachokukera hapa ni matumizi mabovu ya gari la serikali au kwaya?


kipi hakiko sahihi Osaka, matumizi mabaya ya gari la serikali au kwaya?
hicho kisicho sahihi ndicho kinikeracho mie
 
1.polisi manyasin hapa nahitaji STJ 974 kuna tukio mabwe mbezi.. ova!!, 2. nimekupata afande hiyo gari iko shooting coco beach..ova..! 1. ok jitahidi mmalize mapema muwahi kwenye tukio.. ova, 2. umesomeka afande ova..!

Cobra one cobra one! Unasomeka kwa moja, nne, K, tukio linaendelea, hii cruza ya patrol iko namnani, mkuu kapumzika. Msome apolo moja kwa msaada zaidi! Ova and out!
 
Back
Top Bottom