STJ 974 Iko cocobeach imeleta wanakwaya kurekodi video

Mungejikusanya hapo vijana kadhaa na kwenda kuwahoji kwa nini wanatumia gari la serikali mida hiyo na mahala hapo. Hivi mnajua kwamba kuna marufuku ya kutumia magari ya serikali baada ya saa kumi na mbili pia siku za weekend. Kama inatumia siku za weekend unatakiwa upate kibali. Tuanze kuwahoji kama wana vibali vya kutumia magari siku za mwisho wa wiki. Tukiwa wakali wataacha.
 
hio ni gari ya serikali ya ccm ktk kutekeleza sera yake ya udini, Ngoma Droo vifaa vya kanisa kwenye mkutano wake pale Jangwani na Gwajima akitumika ktk picha ya Dr Ulimboka na afande kova na Mkenya mwendawazimu!
 
Hakuna cha ajabu hapo sisi sote ni watanzania na hizo ni kodi zetu ikiwa hakuna ajenda nyingine hapa kwa hilo hakuna baya lililotendeka labda kama ni bwalabwala za siasa
 
Itakuwa ni video kwa ajili ya uhamasishaji wa vitambulisho vya uraia
 
Mfumokristo uko kazini! Ingekuwa niwaislam basi comment zote zingeelekea kwa Watu flani kwamba wanaleta udini! UDINI wenyewe ndio huo! Hii inatokana na Mfumokristo ambapo inaonekana sio tatizo kabisa. Jamani Mfumokristo unaifilisi hii nchi.

Mleta mada ameweka wazi kwenye moja ya post zake kuwa yeye ni mkristo. Ufisadi hauna dini.
 
Mfumokristo uko kazini! Ingekuwa niwaislam basi comment zote zingeelekea kwa Watu flani kwamba wanaleta udini! UDINI wenyewe ndio huo! Hii inatokana na Mfumokristo ambapo inaonekana sio tatizo kabisa. Jamani Mfumokristo unaifilisi hii nchi.

Mleta mada ameweka wazi kwenye moja ya post zake kuwa yeye ni mkristo. Ufisadi hauna dini.

Mzawa Halisi uko makini, ni kweli mi ni mkristo, tena nimeokoka na hivi sasa ndio tumeingia na mke wangu kutoka kanisani
 
Sioni ubaya wake, ila pia yawezekana limeshauzwa jamaa hawajabadili namba, nishaendesha Cruiser ya Serikali for 1 year na number Yao mpaka majembe walipozidi Sumbua nikalipa kodi Basi.


Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.

Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?


hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona


View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432
 
Back
Top Bottom