Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

Tundu lisu asungeweza kuongea kwa kuropoka tu lile si tamko binafsi na nafikiri umesikia sababu walizotoa mawakili ambao hawakugoma. Mbona huelewi vitu vyepesi sana
Hebu nisaidie.adui wa TLS ni nani? Je unaweza kuniambia kw nn imma advct imevamiwa?? Kw unavyodhani wewe nani mvamizi wa TLS??!! Je adui wa imma advct ndio adui wa TLS,?lissu alitangaza mgomo ili kumlenga nani?? Mahakama?? Serikali?? Au wale waliovamia imma advct??NISAIDIE WEWE ULIEMWELEWA LISSU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao husika na taaluma hii ya habari waichukulie hatua Star tv kwa hizi tabia zao za kila wakati kuita watu kushambulia upande mmoja bila upande huo mwingine kuwepo kujibu hoja. Huu ni upotoshaji mkubwa sana na haufai kuendekezwa.

Hii ni sawa na ile issue ya Makonda na Clouds kuhusu yule mama aliyesema kazaa na Gwajima. Clouds kwa weledi wa kazi yao waligoma kurusha yale mahojiano kwa vile hayakuwa na upande wa pili kujibu.

Kipindi cha tuongee asubuhi cha Star tv kinatumika vibaya kupotosha jamii kwa manufaa ya ccm. Wale watangazaji vijana hawawezi kuwa na future nzuri katika kazi yao kama wanakubali kufanywa madodoki ya kusafishia uchafu na kuulinda
 
Hahahaha yaani unacheka kama mazuri lkn tangu mwanzo tulisha shauri kuwa upinzani lazima ujitahidi kuwa na vyombo vyao vya habari na kati ya hivyo TV na REDIO ni vyombo vya muhimu sana kwa huwa vinaaminika sana kwa watu wasiotumia nguvu ya kuhoji jambo kupata ukweli.
Utasikia mtu anasema " Hata redio imetangaza" au "nimeona kwenye TV"

Upinzani amkeni, jichangeni na mtapata kwani hivi ni vyombo muhimu sana vya propaganda
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu hakutangaza mgomo kama Lisu bali maamuzi ya TLS
 
Ni juha tu ambaye kama aliona ile statement bado anasema Lisu aliwaagiza TLS
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muro ni mhalifu.Alishinda ile kesi baada ya ushahidi wa records za camera akipokea rushwa kuhujumiwa huko zilikohifadhiwa.Anajua na kila aliyefuatilia anajua ukweli alitaka apewe rushwa ya milioni 10 na Gwami ili asitangaze habari zake mbaya.Nashangaa leo anapata wapi moral authority kuanza kukosoa watu wengine.Alishinda on technicality wala sio on merit.
 
Hahahaha yaani unacheka kama mazuri lkn tangu mwanzo tulisha shauri kuwa upinzani lazima ujitahidi kuwa na vyombo vyao vya habari na kati ya hivyo TV na REDIO ni vyombo vya muhimu sana kwa huwa vinaaminika sana kwa watu wasiotumia nguvu ya kuhoji jambo kupata ukweli.
Utasikia mtu anasema " Hata redio imetangaza" au "nimeona kwenye TV"
Upinzani amkeni, jichangeni na mtapata kwani hivi ni vyombo muhimu sana vya propaganda
Kaka unadhani upinzani ukianzisha media zao utakosa figisu figisu kutoka mhimili uliojichimbia chini zaidi? Au unadhani watapewa leseni kweli ikiwa juzi tu hapa idara ya habari maelezo imevitaka vyombo hivyo kujisajili upya, unadhani agizo hilo linatafuta nini nyuma ya pazia? Na vyombo vingi vya habari hapa Afrika vinategemea kwa kiasi kikubwa sana kujiendesha kupitia matangazo ya biashara, na hasa kutoka serikalini, mpaka hapo nadhani jibu unalo itakuwaje huo mustakabali wa media za upinzani. Sio kwamba napinga hoja yako, najaribu kuwaza tu kwa kina zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: bne
Jerry Muro katumwa hapo as a missionary to accomplish the mission. Try to read him from his body and you will notice this. Kumjua mtu anayejadili mambo aliyolishwa unamsoma mwili wake kwani mwili haujui kuficha ukweli bali una tabia ya kuuanika ukweli.

Kwanini aamue kuiuza heshima yake kwa njaa ya siku moja au mbili? Ni kwasababu yeye ni mtafuta fursa za kupiga na huenda ni timu polepole!

Ajenge hoja zake kama yeye na sio kujengewa na waliomtuma. Poor him na njaa zake na ameshindwa kabisa ndio maana anazungumzia mambo ya boss wake wa yanga kukutwa na sare za jeshi ilihali kesi ipo mahakamani ambapo kama ana ushahidi ilibidi akautolee huko na sio kwenye media.

Kitendo hiki kitaifanya mahakama isitende haki kwani yaweza kuwa biased na kutoa hukumu kwa kufuata mkumbo wa Jerry! Huenda hajitambui na ama ana ugomvi na Manji.
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana ukaitwa KASHINJE!!!!!!!
 
Ndg wanajamvi za asubuhi, kuna kitu nimejifunza kitu kipitia hii chanel ,kwakweli hiki kituo kisifanye watanzania mazuzu, naomba huyu jamaa wamwite Lissu pamoja na huyu kilaza Murro. Then waanze mahojiano ili kubalance hii taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo channel ni ya mwana ccm kwahiyo usitegemee ku balance habari pia usitegemee wamwite mtu mwenye itikadi tofauti na ccm
 
Jerry kweli suzu anakomaa Na lissu anashindwa kutofautisha kati ya mtu Na taasisi. Anaambiwa ataje vifungu anasema eti vifungu haviwasaidii watu wa machame. Anatafuta kiki Za 2020
Murro hadi leo anaota kupata uteuzi kutoka ikulu
 
Back
Top Bottom