TLS yadhoofika, Mahakama yahusishwa: Sungusia amezidiwa na Makada: Wanachama 3000 toka mikoani Wazagaa Dar. Kikao chapigwa stop usiku saa moja

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
aaa.jpeg

1702965421057.png

Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili.
"Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na mawakili waajiriw wasiopungua watano, na si tu kupungua watano ila awe mtu wa madili, mawakili wanajiuliza inawezekanaje wakili mwenye ofisi yake aiache alafu aende kwenye ajira ya uwakili? Hii ni maksudi kuzia mawakili kuwa majaji na ajira hiyo ibaki kwa watu wa mahakama pekee!
Naomba nitoe mada kidogo juu ya judicial review. Judicial review ni dai la kutengua, kulazimisha ama kuitaka mamlaka fulani inayotoa uamuzi juu ya umma na mamlaka hiyo imeshindwa ama imetoa uamuzi kinyume na mamlaka yake.
Dhana za kinyume na mamlaka zake inaweza kuwa
1. Imetoa uamuzi isiyokua na mamlaka nayo kinyume cha sheria
2. Imetoa uamuzi iliyokua nayo kwa mujibu wa sheria lakini imepitiliza
3. Imetoa uamuzi kama jambo fulani lingezingatiwa uamuzi usingekua hivyo
4. Imetoa uamuzi kwa kuzingatia jambo ambalo halikupaswa kuzingatiwa.
Haya mambo manne yanafanya uamuzi kuwa
1. Batili
2. Usio na sababu

Ukishaona uamuzi wa aina hii ili upate haki ya kuupinga kuna mambo ya kuzingatia.
1. Lazima uombe ruhusa [leave] ya mahakama
2. Lazima uombe amri kati ya 2 au 3 za kuupinga uamuzi huo.

Katika ngazi zote hizo mbili ni lazima uzingatie mambo fulani ya msingi. Kwa mfano katika ngazi ya kwanza yaani ngazi ya ruhusa, ni lazima uioymnyeshe mahakama mambo yafuatayo:-
1. Wewe una maslahi na jambo lenyewe
2. Uamuzi uwe na asili ya kuathiri umma [lisiwe jambo binafsi]
3. Kabla ya kwenda mahakamani ulishataka mamlaka iliyotoa uamuzi huo kutekeleza kile inachopaswa kufanya
4. Uamuzi ule ni wa mwisho na hakuna nafasi nyingine ya kudai haki yako ndani ya mfumo wa mamlaka husika.
5. Uamuzi ule umetolewa ndani ya miezi 6 tangu utolewe.
6. Kuwe na hoja bishanifu.
Vigezo hivyo hapo juu vilitolewa kwenye shauri la John Mwombeki Byombalirwa dhidi ya RPC wa Kagera pamoja na shauri la Juma Cheavo Mshana dhidi ya TANAPA

Kwa misingi hiyo tujiulize je Wakili Baltazary ameza kuishawishi mahakama impe ruhusa kupiga utaratibu wa TLS kuitisha kikao cha dharula?
Hivi tukiacha protocol za kimahakama, uongozi wa TLS hauna uwezo wa kumwita Wakili yeyote kumhoji juu ya Jambo fulani? Au hata kumuuliza tu kujua kilichojiri?
Mawakili wamesafiri nchi nzima na inasemekana idadi yao inafika zaidi ya 5000 So damages si kwa waliosafiri tu kuja Dsm hata sisi pia.
Umesikia wengine wanasema wamekuja na hawaondoki mpaka muafaka upatikane..Na wengine wapo Dsm initially lakini hawaendi likizo mpaka muafaka upatikane.
This matter must be pursued to its logical conclusion..Kama Baltazary, Mahakama na attesting lawyer wa Iringa hawajui kuhusu hili basi GC watalipa damages zote hizi..In the fullness of time we shall come to the bottom of the matter.
Nilijiuliza na nikauliza humu how can GC act on an Order without verification?? Wakati GC iko na wadau wanaojua mapambano ya msituni in as far as koti iko concerned?
Yaani mtu mmoja, ambaye alikua anayo na anayo audience ktk chama chake ... atapata hasara kuliko maelfu ya wanachama kama mkutano ukifanyika!
Kwa kweli nawaza Sana! Sisi kweli niwatetezi wa wanyonge au sisi ndio wanyonge tunahitaji kutetewa?
Am trying to think what happened, I don't get the answer! My mind is really disturbed with what happened few days!
Eti Mh Judge katoa zuio kwa Mawakili kufanya mkutano wao! Is it a political meeting?
To me I should blame the Hon. Judge fisrt! Hajajielekeza vizuri unless ndio yale ya kusema kuna maelekezo kutoka juu Kama alivyosema Rafiki yangu mmoja hapo Dar.
Hon judge anapaswa kuwa a reasonable person, ndio maana hata wenyeviti wa mabaraza ya ardhi wa Tribunal ukipeleka maombi ya kipuuzi ya kuomba injuction anakupuuza!

This is not on!

Then current TLS GC wanahadithiwa na kuona order informally bila ya makabidhiano rasmi ... wanakwenda na kuzuia CLE Seminars ambazo hazikuzuiwa... na badala ya kutumia forum ya hizo seminar kuwataarifu ana kwa ana wanachama kua mkutano EOGM umesitishwa wao wanatangaza kwa vipeperushi ktk social media then wanatoweka na kukaa kimya.

Eti mpaka 80/02/2024!
Hii kesi imekwisha. Kilichobaki ktk hii case ni academic exercise and in futility!
The main object now should be what moved the GC to convene the EOGM at first place.
It is open knowledge-based that kupata matokeo tunayohitaji sio lazima EOGM or AGM.
The GC has full mandate and authority to pursue advocates' interests and deliver the desired results!
It all lies and depends on the ingenuity and commitment of the GC.
Why the snag ,Chama cha Mawakili kinaongozwa mithili ya Christian Student Organization?
BAADHI YA MAWAKILI WANASEMA:-
1. Alaf mbona copy ya application hatujapewa? Tumepewa order Tu. Tutajibu nini na hatuna iyo application. Yani uyu mtoto Bartazary Mahai ni muhuni na katumwa. Kama ameweza kuserve Order ya mahakama kwanini hasinge serve na iyo application yake!? Au viongozi wa TLS mnayo?
2. Si wamesema kesi inakuja tarehe 8 February 2024. Hapa katikati unataka TLS wafanyeje? Kwasababu mkutano umeshazuiwa. Ila kuna muda namuona uyu jaji kama nae alikuwa ni sehemu ya mpango. Ni busara ndogo tu, kama kweli ilo swala ni la dharura alishindwa kusikiliza hiyo kesi week hii tena Leo!!? TLS wapo Dar na AG yupo nchi nzima. Kuweka mwakani ni kama kukomoa TLS. Tarehe 8/2/2024 kesi itahairishwa Jaji hayupo

3.
Done and dusted! We must awake the GC from its slumber... order ilishatoka, ilishatekelezwa kwa kutofanyika EOGM! Wajitokeze sasa kutetea welfare of private advocates!

Aibu kabisa!

“A slave who cannot assume his own revolt does not deserve to be pitied,” says Ibrahim Traoré of Burkina Faso.
 
View attachment 2846824
View attachment 2846813

Tatizo sugu la Tanzania:

F4coIWrWkAI9Dlw.jpeg

Tutakuwa tumerogwa!
 
Serikali ya CCM imeamua kuichezea TLS,haiwezekani huyu kada aende Mahakamani kupinga mkutano bila kusikiliza upande wa pili wa TLS.
IMG-20231217-WA0004.jpg
IMG-20231217-WA0003.jpg
IMG-20231217-WA0007.jpg
IMG-20231217-WA0006.jpg
IMG-20231217-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom