Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
Habari!

Naona watangazaji wa star tv na Jerry Muro wote wanaungana kumjadili Lissu personal lakini hawaendi kuzungumzia TLS kama chama ila wanaungana kumjadili Lissu kama Mbunge na mwanachadema
 
Ndg wanajamvi za asubuhi, kuna kitu nimejifunza kitu kipitia hii chanel ,kwakweli hiki kituo kisifanye watanzania mazuzu, naomba huyu jamaa wamwite Lissu pamoja na huyu kilaza Murro. Then waanze mahojiano ili kubalance hii taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya vyombo vya habari vya Tanzania ni kufinyanga bongo za wa Tz ili wasijitambue, hawawezi toa nafasi kwa Tundu Lissu maana wanahofu atawaamsha wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wamekosa legitimacy na hoja yao kubwa ni kumshambulia Lissu,

Naomba Murro atuambie Lissu kavunja sheria ipi kwenye katiba yao. Au nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko?

Pia yeye alishtakiwa na jamhuri kosa la rushwa huko Bagamoyo je leo kitendo chake cha kuajiliwa tena na serikali hiyohiyo ni kosa?

Murro acha siasa watu wenye akili zao wanaanza kukuona jinsi ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna chombo cha kulalamikia vyombo vya habari lissu alipaswa kuwalalamikia Star tv. hawajamtendea haki lissu.
 
Nashangaa sana sijui kwa nn wamemwita Jerry Muro. Who is he ,yaani kwa sababu tu alipost kwenye mtandao inakua sababu ya yy kuitwa kwenye interview, ameshasema ana masters ya MBA so sheria hataiweza
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!!

Nalo ni kosa la Jerry Muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate, hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake, Lissu asichanganye siasa ma taaluma. Uwakili ni taaluma na usomi. Siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani jerry muro ana kosa gn kuitwa star tv?!! Hv msimamo wa lissu ndio msimamo wa TLS??!! lissu ametangaza mgoma.je mawakili mbona hawajagoma??!! Nalo ni kosa la jerry muro?!! Imevamiwa ofisi ya imma advocate,hakuna wakili alievamiwa akitimiza majukumu yake,lissu asichanganye siasa ma taaluma.uwakili ni taaluma na usomi.siasa ni kujua kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo unamaanisha ukienda mahali kuongea huongei kama baba unaongea tu kama wewe,unaongea siku zote kama baba kinawakilisha familia yako
 
Nchi hii bwana kila anayeongea sana basi anafaa kuchambua mambo yanayohusu taaluma fulani na akasikilizwa!!
[HASHTAG]#Shame[/HASHTAG]

Mbaya Zaid ni pale mwandishi Na yy alionekana kuogemea upande wa Jerry Muro [HASHTAG]#shame[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom