Star Tv Kunani Kipindi Cha Ajenda 2015?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Star Tv kipindi hiki mlianzisha maalumu kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu,Vipi tena mbona hatukioni?
Au ndio wafalme wameshawakataza baada ya kuona mafuriko?
 
Chezea mafuriko ww. Sio ajabu kimeambiwa kilikua kinachochea uvunjifu wa amani.
 
Hiki kipindi kimeishia wapi, nimekua nikikiwinda wiki ya pili sasa
 
Back
Top Bottom