Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,393
- 1,260
WanaJf, Salaam!
Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura.
Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia Mungu, na kipindi cha uongozi wa Serikali kiongozi mwenye imani ya Ukristo hususan Kwaresima huamini kuwa kipindi hiki ni cha kujitaabisha na kumrudia muumba.
Sasa je, ikiwa ni kweli kwamba zinakuwepo hujuma dhidi ya upinzani - ikitokea uchaguzi ukafanyika vipindi hivyo vya mfungo viongozi wanaweza kuwa na uoga wa:-
(a) Kutohujumu uchaguzi?
(b) Viongozi wa upinzani kutosema uongo na uzushi kuhusu tuhuma za uongo kwamba wameibiwa kura?
Huwa natafakali why opposition parties wazue? Why leading party izuliwe?
Ngaika Ndenda
Mfungo mwema.