Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,474
Nape Nnauye Waziri wa Habari aliyezuia Bunge Live, na baadaye kumsingizia Magufuli kabla ya kutimuliwa, ameendeleza makali yake baada ya kufanikiwa kumhujumu John Mrema, na kuzuia kipindi cha Ajenda cha Star Tv.
Ushahidi huu hapa .
Bali Nape anachopaswa kufahamu ni kwamba KILA UBAYA UTALIPWA.
===
Alichoandika Mrema
Ushahidi huu hapa .
Bali Nape anachopaswa kufahamu ni kwamba KILA UBAYA UTALIPWA.
===
Alichoandika Mrema
Wakati naelekea studio, nilijulishwa kuwa kipindi hakitakuwepo na sikupewa sababu zozote. Tanzania uhuru wa habari haujarejea! Mambo Yako kama zama za kale! Aliyefuta Bunge live enzi za mawe ndio anasimamia tasnia ya habari Leo!