stand-up comedy clouds TV!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
naona vipindi siku hizi ni kuigana mwanzo mwisho...hakuja ubunifu kiukweli...hawa clouds nao wameanzisha comedy show...zilizokuwepo station zingine ni mbovu,sasa tuone na hiki kipya!..
 
Mie km cwaelewi elewi!hebu ngoja niendelee kuangalia naona watu wanaoga oficn!hata bado cjacheka!
 
Cantalisia,
watu hawajui kua hakuna kazi ngum kama kuchekesha...mana nisipocheka tu basi hujafanya kazi!..
 
Unaweza fanya action kibao mtu asicheke ila mwingine anakuja kufanya kama wewe afu mtu anacheka kuchekesha ni kaziiiiii.....
 
Km mie cjaona la maana hata cjatabasam nimeishia kubaki na mishangao tu!cha ajabu mchekeshaji anacheka mwenyewe hata cjaelewa kitu!
 
kweli bana...wengine wanatumia nguvu nyiingi...kujibadilisha,kujifanya wanawake akati ni wanaume...nisielewe huo ndio uchekeshaji...mm nahisi hili suala ni lakutoka kwenye damu...sio kulazimishia!..kuna comedy moja ya nigeria mtu kasimama tu anaongea ila kiroho safi utacheka tu!
 
nomaa!..bora humu kuna watu wananichekesha kwa maandishi tu
 
Evans Bukuku is something else jamaa is so funny ukienda kwenye show ndio utaona to the fullest.
Naona baadhi hawaelewi concept ya stand up comedy
 
kweli bana...wengine wanatumia nguvu nyiingi...kujibadilisha,kujifanya wanawake akati ni wanaume...nisielewe huo ndio uchekeshaji...mm nahisi hili suala ni lakutoka kwenye damu...sio kulazimishia!..kuna comedy moja ya nigeria mtu kasimama tu anaongea ila kiroho safi utacheka tu!

yap....
 
nomaa!..bora humu kuna watu wananichekesha kwa maandishi tu

Yan tena humu huwa nacheka mpaka na maliza hamu lol!km hao wa leo wala bora hata enzi za akina masanja hata nicpochekeshwa na maneno au vitendo vyao japo mavaz yalikua yakinitabasamisha!
 
kweli bana...wengine wanatumia nguvu nyiingi...kujibadilisha,kujifanya wanawake akati ni wanaume...nisielewe huo ndio uchekeshaji...mm nahisi hili suala ni lakutoka kwenye damu...sio kulazimishia!..kuna comedy moja ya nigeria mtu kasimama tu anaongea ila kiroho safi utacheka tu!

Naikumbuka ile ya "THERE ARE TWO TINGS INVOLVED!" acheni comedies waitwe comedies!
 
Yan tena humu huwa nacheka mpaka na maliza hamu lol!km hao wa leo wala bora hata enzi za akina masanja hata nicpochekeshwa na maneno au vitendo vyao japo mavaz yalikua yakinitabasamisha!

Unacheka hadi "unamaliza hamu"! Basi Mh. Rejao hua ana kakibarua kadogodogo! Anamalizia tu, kahamu kalikosalia !
 
Unacheka hadi "unamaliza hamu"! Basi Mh. Rejao hua ana kakibarua kadogodogo! Anamalizia kahamu kalikosalia !

Khaaaa!mkuu hebu tofautisha hizo hamu bana!hamu yangu na rejao hakuna wa kuimaliza icpokua rejao mwenyewe lol!hizi zingine ni za kucheka tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom