Springa hairushi maji, tatizo ni nini?

kidu27

Member
Dec 27, 2015
21
0
Wakuu nimenunua springa kwa ajili ya umwagiliaji busitani yangu ila kila nikiweka kwenye pipe inavujisha maji tu na sio kurusha, tatizo itakuwa nn naomba msaada maana sijawahi kuitumia, naomba maelekezo.
 
Either Sprinkler mbovu, maji machache au vyote kwa pamoja
 
Wakuu nimenunua springa kwa ajili ya umwagiliaji busitani yangu ila kila nikiweka kwenye pipe inavujisha maji tu na sio kurusha, tatizo itakuwa nn naomba msaada maana sijawahi kuitumia, naomba maelekezo.
Hayo maji kabla hamjaruhusu kuingia kwenye springler mnayachuja????? hapo kuna uwezekano imeziba!!!!

Au presha ndogo..
 
Ndio yamechujwa maana yanachukuliwa toka mtoni kwa machine ambayo ina chujio tayari
 
Back
Top Bottom