Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

Wadau nimeingiza detail zangu sijapatiwa CONTROL NUMBER, inajibu "we are still working on your request, please come back after few minutes “ hadi sasa zaidi ya dakika 1800 bado inaonesha msg hyo hiyo inaweza kuwa kwangu tu au na wengine? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile control number kaz yake nini?
 
Hiyo control number ndio namba yako watayokutaka ungize. Ndio namba ya malipo (kumbukumbu number)
Mbona nikilipa kwa mpesa sipaoni pa kuiweka hiyo control/namba ya kumbukumbu
 
Wakuu naombeni mnisaidie

mm nmekwama katika ku upload passprt size yangu na mdhamin wangu na kila nikitaka ku upload wananiletea ujumbe usemao

"the opload path does not appear to be valid" sasa nifanyejee msaada wakuu
 
Picha yako inahitajika yenye ukubwa wa 150*120 isizidi.
 
Back
Top Bottom