Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

Hahaaaaa !
Me gonga sana Account, Three Dimensional Figures, Cycle & Earth as sphere, Trig,

Nilizikazania sana mana zilikaa mwishoni kabisa kwenye pepa !
Ila Account inapotezeana sana muda !

Matrix niliionea sana !

cycle?????
 
Physics na math walimu walikuwa wananichapa nkayachukia vibaya sana...nlikuwa naipenda french tu...
 
Hesabu haikwepweki...
Niliikimbia sana O level..
Nikakumbana nayo A level kama subsidiary subject..
Chuo nikadhani nimepatia.. duh!
Huku nako Holla! Kila semester bwana nakumbana na module moja yenye Namba ngumu ngumu tu.. Kuanzia Quantitative Methods (Hapa karibu nusu ya darasa vichwa chini! usipime), Kiasi accounts, finance, statistics (Hapa ni pa kufikia kiasi)..
Dah! Usijaribu kumfunza mwanao kuikimbia hesabu.. wala usimpe stori mbaya kuhusu hili somo..
Ni heri ukampa fake stories ili alipende..
Kwa hali ya ajira Tz ni heri ummezeshe mwanao sayansi tupu hata kama ana kichwa maji lakini itamsaidia sana...
 
English bhana japo nilipapa C lakin hadi leo huwa spati jibu nilipataje kwa upande wa vitabu nilikuwa safi ila huku kwa is, a, are, at, had leo zinanisumbuaga tu.
 
General study advance. Hadi leo huwa naota nafanya mtihani alafu wenzangu wanakusanya huku mimi bado ndio naanza. Hatukuwahi kufundishwa miaka miwili.

Hua Unaota Unafanya Mtihani?
Mnh!Pana Tatizo Apo Njoo Nikusaidie Kabra Alijawa Kubwa.Kuna Mtu Anataka Kuku Ibia Vyeti

Mi Ni Mtabiri Wa Nyota We Njoo Pm
 
somo la dini ndo lilikuwa hovyooo...hawataki tuhoji maswali eti ndo ilivoandikwa ndo ivo ivo.
 
wengi sio kweli kwamba hamkupenda hesabu au mlikuwa hamziwezi..... ni peer pressure tu ndo iliwasukuma....Hayo maneno ya Janga la taifa, logi inasaidia nini...n.k ndo yanaharibu wanafunzi.
 
Back
Top Bottom