Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,381
masomo yote ya arts
Hahaaaaa !
Me gonga sana Account, Three Dimensional Figures, Cycle & Earth as sphere, Trig,
Nilizikazania sana mana zilikaa mwishoni kabisa kwenye pepa !
Ila Account inapotezeana sana muda !
Matrix niliionea sana !
General study advance. Hadi leo huwa naota nafanya mtihani alafu wenzangu wanakusanya huku mimi bado ndio naanza. Hatukuwahi kufundishwa miaka miwili.
History......Yani hili nilikuwa natamani kuzimia nikimuona ticha...
Ila nilipata A maajabu ya Mussa..