Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

English bhana japo nilipata C lakin hadi leo huwa spati jibu nilipataje japo kwa upande wa vitabu nilikuwa safi ila huku kwa is, a, are, at, had leo zinanisumbuaga tu.
Hili somo hili silisahau primary hadi olevel nilikula D. Alikua tunafundishwa na headmaster Alikua malaya kinoma so akawa anawafaulisha wasichana weupe pekee sis midume F kwa kwenda mbele
 
Kiswahili kinazingua .madam alikuwa mnoko huyo akija tu anagawa tahakiki zake.mm fuul chenga tu
 
english, hii ilichangiwa na mwalimu.wangu wa.english maana yy alikua anaenda na wanaojua english tu, ila baada ya kuja ticha mwingine wa english form aasee ni somo jepesi sana kuliko yote. japo kukiongea ni second case tena
 
HISTORY, somo hili sikulipenda japo nilikuwa nikifanya vzr ktk mitihan lkn kwangu me niliona kama linanitia hasira kwa kunijuza maovu yaliyofanywa enzi za ukoloni na bado viongoz na walimu wa somo hilo walizid kuonyesha kuwanyenyekea wagen hao ambao baba na babu zao ndo wametutesa
 
Back
Top Bottom