Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

mie kiswahili na nilifeli kwa kupata C = Mwalimu alikuwa anaboa sana mnene dunia nzima hakuna akija anakaaa anaanza kuimba mashairi!! f**** offf
 
Engineering science nilipokua bwiru 2004. hata ticha nimemsahau jina pia bios ilikua haipandi mpaka nilipohamia twitange ajabu nikayafauru kwa c
 
Hua Unaota Unafanya Mtihani?
Mnh!Pana Tatizo Apo Njoo Nikusaidie Kabra Alijawa Kubwa.Kuna Mtu Anataka Kuku Ibia Vyeti

Mi Ni Mtabiri Wa Nyota We Njoo Pm
mkuu mimi sio muumini wa hizo imani potofu. ndoto ni kama hii ni marudio ya mambo yaliyopita. macho yetu na ubongo ni kama video recorder. wakati mwingine huwa vinajirudia vitu tulivyovirecord kwa kujua au kutokujua.

hiyo elimu nafikili hapa sio mahala pake.
 
#French.... yule mwalimu anisamehe tu, nauli yenyewe ya ufaransa sina alikua ananipotezea muda
 
mie kiswahili na nilifeli kwa kupata C = Mwalimu alikuwa anaboa sana mnene dunia nzima hakuna akija anakaaa anaanza kuimba mashairi!! f**** offf
Hahahah mbona ulifaulu C sio failure.
Ko kilichokukera ni unene wake na kuimba mashairi....
 
Back
Top Bottom