Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

Status
Not open for further replies.
Someni hoja nadhani wachangiaji mnamiss kitu.

unavochombeza thread uchwara yako,unadhani unawavuta watu. Kwa ushenzi wako watachangia hao tu waliokuhurumia. Udini ni ushenzi wenu wala hamna atakayekushabikia. Itakuwa ni uibilisi kushabikia kitu kinacho encourage kuuana. Ujinga huu hata shetani mwenyewe atakushangaa!
 
Kwanza tittle na habari yako haviendani, pilli we mswahili wa wapi? ni MLENGO sio MRENGO, bure kabisa. Tatu So what? tangaza basi na wewe huo MRENGO wako, ovyo kabisa!
Ongeza Hayati Kighoma Malima, Lipumba, mimi mwenyewe n.k. ama kweli heri ujinga wa mtu mzima kuliko busara za kichaa. Mwandishi wa hii thread ni mjinga mmoja anayetaka kuwaambukiza wengine ujinga wake. Anastahili kuogopwa kama ukoma. Hivi ni waislamu wangapi waliosomea shule za kikatoliki na kikristu kwa jumla ambao hadi leo hii wanaendelea na imani yao bila ya wasiwasi?
Mjinga huyu ameandika habari ya uchochezi hii bila hata ya kufanya utafiti kwani Mbowe si Mkatoliki na hicho chama anachokitaja huko Ujerumani kina vyama rafiki mpaka kwenye nchi za kiarabu; sembuse Tanzania? Haya ndiyo matokeo ya kiongozi mkuu wa nchi, aliyefilisika kisera kutumia fitna za dini ili kujinusuru na kushindwa katika uchaguzi kama ilivyofanywa na JK. Haya ndiyo mnaayotumwa na Nape kuandika?

 
Kwa ruhusa ya one of the mods ameniruhusu kuibandika tena hii tread baada ya kuchakachuliwa hapo awali. Ni matumaini yangu hapa JF ni "we dare to talk openly" nategemea watakaoijibu hii hoja watajibu kwa kutumia busara na hoja zilizofanyiwa uchambuzi wa hali ya juu. Najua hoja hii ni chungu na ndio maana awali mod aliei "move" ikawa haiwezi kusomeka alishindwa kuimeza kwa uchungu wake. Tuvumiliane tujadiliane kwa ajili ya ustawi wa taifa letu. Tukumbuke Uislam na Ukristo upo nchini na sisi ndio wenye hizo dini na ni "Watanzania" basi tuwe kitu kimoja mpaka mwisho wa Tanzania. Kila la kheri na anza kusoma...............Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni ule wa Kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na Chama cha Kikristo cha Ujerumani, Christian Democratic Union (CDU). Kutokana na urafiki huo, CDU kimesema kuwa kitawapa nafasi za mafunzo nchini Ujerumani vijana na viongozi wa Chadema, kusomea maadili na uongozi.Maadili na uongozi ambao kwa mujibu wa mtizamo na sera za CDU ni yale ya Kikristo kama yalivyobuniwa na mwasisi wa chama hicho Konrad Harman Joseph Adenauer. Taarifa zilizotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa Chadema Mhe Freeman Mbowe zinasema kuwa fursa hiyo imetolewa kwa chama chake baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na ujumbe wa CDU uliokuwa ukiongozwa na Rais wa zamani wa Ujerumani Profesa Dk. Horst Kohler. Mazungumzo hayo yalimshirikisha katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilbrod Slaa na viongozi wengine wa juu.Mbowe meviambia vyombo vya habari kuwa katika mazungumzo yao Kohler alisema dhamira ya kuwapa nafasi za masomo vijana viongozi wa Chadema inalenga kuwafanya wawe viongozi wenye maadili mazuri kwa taifa lao. "Tumekubaliana ambapo tutapata nafasi za masomo kwa vijana ambao ni viongozi wa Chadema kwenda kusomea uongozi na maadili chini Ujerumani" alisema. Kwa hapa nchini imeelezwa kuwa Chadema itafanya kazi kwa karibu na kwa kushirikiana na taasisi ya Conrad Adenauer Foundation ambayo ni ya taasisi ya Kikristo iliyo chini ya Chama cha CDU.CDU kikiwa kimeanzishwa mwaka 194, ni chama cha Kikristo kilichowaunganisha Wakatoliki na Protestant kikilenga kujenga Ujerumani yenye maadili ya Kikristo katika siasa, kijamii, maadili na kila kipengele cha maisha.Mwanzilishi wake Konrad Hermann Joseph Adenauer anatajwa kuwa mfuata Ukatoliki aliyekuwa tayari kuufia Ukatoliki wake na ambaye amefanya kazi kubwa kutaka kuona maadili ya Kikristo yakitawala na kuongoza siasa za Ujerumani na Kimataifa. Anatajwa kutoa mchango mkubwa katika kujenga Ulaya mpya ya Kikristo na umoja chini ya NATO baada ya vita Kuu ya pili ya dunia.Kwa upande mwingine rekodi zinaonyesha kuwa Konrad alichangia kwa kiasi kikubwa kuanzishwa kwa taifa la Israel, jambo lililoenda na kuporwa ardhi ya wapalestina na kudhalilishwa hadi hii leo.Ujerumani ikitajwa kama nchi ya Kikristo hii leo, mchango mkubwa unatokana na Konrad Hermann Joseph Adenauer na chama chake cha CDU pamoja na ile taasisi yake Konrad Adenauer Foundation ( Konrad - Adenauer - Stiftung ) (KAS). Hii ni taasisi iliyo chini ya chama rafiki wa Chadema, yaani CDU ambayo iliundwa mwaka 1956 ikiwa taasisi ya Kikristo ya kutoa elimu ya siasa na kiraia kwa mtizamo wa Kikristo. Awali ilipoanzishwa mwaka 1956 ilijulikana kwa jina la "Society for Christian Democratic Education Work" ndio mwaka 1964 kikapewa jina la Konrad Adenauer kwa heshima ya mwanzilishi wake.Ni taasisi ambayo ina miradi 200 katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo hii ya kutoa elimu ya siasa, maadili, uongozi na hata uchumi kwa vyama vya siasa ambavyo vinakubaliana na sera zake za Kikristo. Kwa upande wa chama cha CDU ambacho ni rafiki wa Chadema inaelezwa wazi kuwa "is Christian- based applying the principles of Christian democracym and emphasizes the Christian understanding of humans and their responsibility toward God" Kwa japo wale ambao sio wakristo wanaruhusiwa kujiunga na chama hicho lakini wajue misingi yake ni kinafuata maadili na kanuni za Kikristo katika siasa zake na namna ya kumwelewa binadamu na wajibu wake kwa "Mungu" Kutokana na msimamo wake huo wa kikristo chama tawala cha Ujerumani CDU kimekuwa mstari wa mbele madhubuti kupinga Uturuki isikubaliwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Uturuki inaonekana kama nchi ya Kiislamu kwa vile wananchi wake karibu wote ni Waislamu. Wakristo wa ndani ya Uturuki ni wale wahamiaji. Hata hivyo, pamoja na jitihada za CDU na Konrad yake kufanya juhudi za kujenga jamii ya Kikristo Ujerumani, Ulaya na Ulimwenguni dalili zinaonyesha kuwa Ujerumani inazidi kusilimu kila uchao. Hali hiyo imepelekea kiongozi wa nchi hiyo Chancellor Angela Merkel kutoa kauli akiwazindua Wajerumani wenzake kwamba nchi yao hivi sasa inakimbilia kuwa ya Kiislamu. Akinukuliwa na vyombo vya habari mwaka jana Kansela Angela amesema kuwa Wajerumani (Wakristo) wameshindwa kugundua jinsi Waislam walivyojipenyeza na kupenyeza dini yao Ulaya jambo ambalo limebadili hali ya mambo. Akasema kutokana na hali hiyo sasa itabidi Wajerumani wajifunze kuona Misikiti mingi zaidi ya Makanisa waliyo kuwa wamezoea kuyaona huko nyuma. Kwa mujibu wa gazeti la Frankfurter Allgemeine Zeitung, si muda mrefu misikiti Ujerumani itakuwa mingi kuliko makanisa. My takeWasio kuwa vijana viongozi wa wakristo jiandaeni kufundishwa maadili ya kikristo nawatakieni kila la heri.Ukipata muda pitia hii link The manifesto of the Christian Democratic Union (CDU)


haijatulia hii, hata haina mashiko. watanzania wanaojitokeza kwenye mikutano yote hiyo ya chadema wote ni wakristo?????? fikili kwanza bwanamdogo kabla ya kutuma hoja zako.
 
Kwa ruhusa ya one of the mods ameniruhusu kuibandika tena hii tread baada ya kuchakachuliwa hapo awali. Ni matumaini yangu hapa JF ni "we dare to talk openly" nategemea watakaoijibu hii hoja watajibu kwa kutumia busara na hoja zilizofanyiwa uchambuzi wa hali ya juu. Najua hoja hii ni chungu na ndio maana awali mod aliei "move" ikawa haiwezi kusomeka alishindwa kuimeza kwa uchungu wake. Tuvumiliane tujadiliane kwa ajili ya ustawi wa taifa letu. Tukumbuke Uislam na Ukristo upo nchini na sisi ndio wenye hizo dini na ni "Watanzania" basi tuwe kitu kimoja mpaka mwisho wa Tanzania. Kila la kheri na anza kusoma...............Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni ule wa Kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na Chama cha Kikristo cha Ujerumani, Christian Democratic Union (CDU). Kutokana na urafiki huo, CDU kimesema kuwa kitawapa nafasi za mafunzo nchini Ujerumani vijana na viongozi wa Chadema, kusomea maadili na uongozi.Maadili na uongozi ambao kwa mujibu wa mtizamo na sera za CDU ni yale ya Kikristo kama yalivyobuniwa na mwasisi wa chama hicho Konrad Harman Joseph Adenauer. Taarifa zilizotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa Chadema Mhe Freeman Mbowe zinasema kuwa fursa hiyo imetolewa kwa chama chake baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na ujumbe wa CDU uliokuwa ukiongozwa na Rais wa zamani wa Ujerumani Profesa Dk. Horst Kohler. Mazungumzo hayo yalimshirikisha katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilbrod Slaa na viongozi wengine wa juu.Mbowe meviambia vyombo vya habari kuwa katika mazungumzo yao Kohler alisema dhamira ya kuwapa nafasi za masomo vijana viongozi wa Chadema inalenga kuwafanya wawe viongozi wenye maadili mazuri kwa taifa lao. "Tumekubaliana ambapo tutapata nafasi za masomo kwa vijana ambao ni viongozi wa Chadema kwenda kusomea uongozi na maadili chini Ujerumani" alisema. Kwa hapa nchini imeelezwa kuwa Chadema itafanya kazi kwa karibu na kwa kushirikiana na taasisi ya Conrad Adenauer Foundation ambayo ni ya taasisi ya Kikristo iliyo chini ya Chama cha CDU.CDU kikiwa kimeanzishwa mwaka 194, ni chama cha Kikristo kilichowaunganisha Wakatoliki na Protestant kikilenga kujenga Ujerumani yenye maadili ya Kikristo katika siasa, kijamii, maadili na kila kipengele cha maisha.Mwanzilishi wake Konrad Hermann Joseph Adenauer anatajwa kuwa mfuata Ukatoliki aliyekuwa tayari kuufia Ukatoliki wake na ambaye amefanya kazi kubwa kutaka kuona maadili ya Kikristo yakitawala na kuongoza siasa za Ujerumani na Kimataifa. Anatajwa kutoa mchango mkubwa katika kujenga Ulaya mpya ya Kikristo na umoja chini ya NATO baada ya vita Kuu ya pili ya dunia.Kwa upande mwingine rekodi zinaonyesha kuwa Konrad alichangia kwa kiasi kikubwa kuanzishwa kwa taifa la Israel, jambo lililoenda na kuporwa ardhi ya wapalestina na kudhalilishwa hadi hii leo.Ujerumani ikitajwa kama nchi ya Kikristo hii leo, mchango mkubwa unatokana na Konrad Hermann Joseph Adenauer na chama chake cha CDU pamoja na ile taasisi yake Konrad Adenauer Foundation ( Konrad - Adenauer - Stiftung ) (KAS). Hii ni taasisi iliyo chini ya chama rafiki wa Chadema, yaani CDU ambayo iliundwa mwaka 1956 ikiwa taasisi ya Kikristo ya kutoa elimu ya siasa na kiraia kwa mtizamo wa Kikristo. Awali ilipoanzishwa mwaka 1956 ilijulikana kwa jina la "Society for Christian Democratic Education Work" ndio mwaka 1964 kikapewa jina la Konrad Adenauer kwa heshima ya mwanzilishi wake.Ni taasisi ambayo ina miradi 200 katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo hii ya kutoa elimu ya siasa, maadili, uongozi na hata uchumi kwa vyama vya siasa ambavyo vinakubaliana na sera zake za Kikristo. Kwa upande wa chama cha CDU ambacho ni rafiki wa Chadema inaelezwa wazi kuwa "is Christian- based applying the principles of Christian democracym and emphasizes the Christian understanding of humans and their responsibility toward God" Kwa japo wale ambao sio wakristo wanaruhusiwa kujiunga na chama hicho lakini wajue misingi yake ni kinafuata maadili na kanuni za Kikristo katika siasa zake na namna ya kumwelewa binadamu na wajibu wake kwa "Mungu" Kutokana na msimamo wake huo wa kikristo chama tawala cha Ujerumani CDU kimekuwa mstari wa mbele madhubuti kupinga Uturuki isikubaliwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Uturuki inaonekana kama nchi ya Kiislamu kwa vile wananchi wake karibu wote ni Waislamu. Wakristo wa ndani ya Uturuki ni wale wahamiaji. Hata hivyo, pamoja na jitihada za CDU na Konrad yake kufanya juhudi za kujenga jamii ya Kikristo Ujerumani, Ulaya na Ulimwenguni dalili zinaonyesha kuwa Ujerumani inazidi kusilimu kila uchao. Hali hiyo imepelekea kiongozi wa nchi hiyo Chancellor Angela Merkel kutoa kauli akiwazindua Wajerumani wenzake kwamba nchi yao hivi sasa inakimbilia kuwa ya Kiislamu. Akinukuliwa na vyombo vya habari mwaka jana Kansela Angela amesema kuwa Wajerumani (Wakristo) wameshindwa kugundua jinsi Waislam walivyojipenyeza na kupenyeza dini yao Ulaya jambo ambalo limebadili hali ya mambo. Akasema kutokana na hali hiyo sasa itabidi Wajerumani wajifunze kuona Misikiti mingi zaidi ya Makanisa waliyo kuwa wamezoea kuyaona huko nyuma. Kwa mujibu wa gazeti la Frankfurter Allgemeine Zeitung, si muda mrefu misikiti Ujerumani itakuwa mingi kuliko makanisa. My takeWasio kuwa vijana viongozi wa wakristo jiandaeni kufundishwa maadili ya kikristo nawatakieni kila la heri.Ukipata muda pitia hii link The manifesto of the Christian Democratic Union (CDU)[/


MAJI YAMESHAMWAGIKA KAKA HAYAZOLEKI TENA HATA UFANYEJE CCM WALISHAGOKOA BASI MBONA MLISEMA SALIM SIO MTANZANIA YAKO WAPI SASA?
 
Narudia tena maoni niliyoweka kwenye thread nyingine inayozungumzia upumbavu wa udini. Msidanganyike kama majuha, suala la udini kwenye siasa za Tanzania limetengenezwa juzi tu na CCM. Ni katika uchaguzi wa 2010, ambapo Jakaya Kikwete na timu yake baada ya kupata kiwewe kuwa DK. WILLBROD SLAA wa CHADEMA anachukua nchi ndiyo wakamwaga sumu ya udini kwenye siasa za Tanzania kwa kueneza propaganda za kupikwa kuwa eti makanisa ya Tanzania yanamuunga mkono DK. SLAA awe Rais na wanampigia kampeni makanisani kwa waumini wao. Hizo zilikuwa ni smear campaign za Kikwete na CCM yake tu.TUSIDANGANYIKE!
 
Kwa ruhusa ya one of the mods ameniruhusu kuibandika tena hii tread baada ya kuchakachuliwa hapo awali. Ni matumaini yangu hapa JF ni "we dare to talk openly" nategemea watakaoijibu hii hoja watajibu kwa kutumia busara na hoja zilizofanyiwa uchambuzi wa hali ya juu. Najua hoja hii ni chungu na ndio maana awali mod aliei "move" ikawa haiwezi kusomeka alishindwa kuimeza kwa uchungu wake. Tuvumiliane tujadiliane kwa ajili ya ustawi wa taifa letu. Tukumbuke Uislam na Ukristo upo nchini na sisi ndio wenye hizo dini na ni "Watanzania" basi tuwe kitu kimoja mpaka mwisho wa Tanzania. Kila la kheri na anza kusoma...............Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni ule wa Kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na Chama cha Kikristo cha Ujerumani, Christian Democratic Union (CDU). Kutokana na urafiki huo, CDU kimesema kuwa kitawapa nafasi za mafunzo nchini Ujerumani vijana na viongozi wa Chadema, kusomea maadili na uongozi.Maadili na uongozi ambao kwa mujibu wa mtizamo na sera za CDU ni yale ya Kikristo kama yalivyobuniwa na mwasisi wa chama hicho Konrad Harman Joseph Adenauer. Taarifa zilizotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa Chadema Mhe Freeman Mbowe zinasema kuwa fursa hiyo imetolewa kwa chama chake baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na ujumbe wa CDU uliokuwa ukiongozwa na Rais wa zamani wa Ujerumani Profesa Dk. Horst Kohler. Mazungumzo hayo yalimshirikisha katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilbrod Slaa na viongozi wengine wa juu.Mbowe meviambia vyombo vya habari kuwa katika mazungumzo yao Kohler alisema dhamira ya kuwapa nafasi za masomo vijana viongozi wa Chadema inalenga kuwafanya wawe viongozi wenye maadili mazuri kwa taifa lao. "Tumekubaliana ambapo tutapata nafasi za masomo kwa vijana ambao ni viongozi wa Chadema kwenda kusomea uongozi na maadili chini Ujerumani" alisema. Kwa hapa nchini imeelezwa kuwa Chadema itafanya kazi kwa karibu na kwa kushirikiana na taasisi ya Conrad Adenauer Foundation ambayo ni ya taasisi ya Kikristo iliyo chini ya Chama cha CDU.CDU kikiwa kimeanzishwa mwaka 194, ni chama cha Kikristo kilichowaunganisha Wakatoliki na Protestant kikilenga kujenga Ujerumani yenye maadili ya Kikristo katika siasa, kijamii, maadili na kila kipengele cha maisha.Mwanzilishi wake Konrad Hermann Joseph Adenauer anatajwa kuwa mfuata Ukatoliki aliyekuwa tayari kuufia Ukatoliki wake na ambaye amefanya kazi kubwa kutaka kuona maadili ya Kikristo yakitawala na kuongoza siasa za Ujerumani na Kimataifa. Anatajwa kutoa mchango mkubwa katika kujenga Ulaya mpya ya Kikristo na umoja chini ya NATO baada ya vita Kuu ya pili ya dunia.Kwa upande mwingine rekodi zinaonyesha kuwa Konrad alichangia kwa kiasi kikubwa kuanzishwa kwa taifa la Israel, jambo lililoenda na kuporwa ardhi ya wapalestina na kudhalilishwa hadi hii leo.Ujerumani ikitajwa kama nchi ya Kikristo hii leo, mchango mkubwa unatokana na Konrad Hermann Joseph Adenauer na chama chake cha CDU pamoja na ile taasisi yake Konrad Adenauer Foundation ( Konrad - Adenauer - Stiftung ) (KAS). Hii ni taasisi iliyo chini ya chama rafiki wa Chadema, yaani CDU ambayo iliundwa mwaka 1956 ikiwa taasisi ya Kikristo ya kutoa elimu ya siasa na kiraia kwa mtizamo wa Kikristo. Awali ilipoanzishwa mwaka 1956 ilijulikana kwa jina la "Society for Christian Democratic Education Work" ndio mwaka 1964 kikapewa jina la Konrad Adenauer kwa heshima ya mwanzilishi wake.Ni taasisi ambayo ina miradi 200 katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo hii ya kutoa elimu ya siasa, maadili, uongozi na hata uchumi kwa vyama vya siasa ambavyo vinakubaliana na sera zake za Kikristo. Kwa upande wa chama cha CDU ambacho ni rafiki wa Chadema inaelezwa wazi kuwa "is Christian- based applying the principles of Christian democracym and emphasizes the Christian understanding of humans and their responsibility toward God" Kwa japo wale ambao sio wakristo wanaruhusiwa kujiunga na chama hicho lakini wajue misingi yake ni kinafuata maadili na kanuni za Kikristo katika siasa zake na namna ya kumwelewa binadamu na wajibu wake kwa "Mungu" Kutokana na msimamo wake huo wa kikristo chama tawala cha Ujerumani CDU kimekuwa mstari wa mbele madhubuti kupinga Uturuki isikubaliwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Uturuki inaonekana kama nchi ya Kiislamu kwa vile wananchi wake karibu wote ni Waislamu. Wakristo wa ndani ya Uturuki ni wale wahamiaji. Hata hivyo, pamoja na jitihada za CDU na Konrad yake kufanya juhudi za kujenga jamii ya Kikristo Ujerumani, Ulaya na Ulimwenguni dalili zinaonyesha kuwa Ujerumani inazidi kusilimu kila uchao. Hali hiyo imepelekea kiongozi wa nchi hiyo Chancellor Angela Merkel kutoa kauli akiwazindua Wajerumani wenzake kwamba nchi yao hivi sasa inakimbilia kuwa ya Kiislamu. Akinukuliwa na vyombo vya habari mwaka jana Kansela Angela amesema kuwa Wajerumani (Wakristo) wameshindwa kugundua jinsi Waislam walivyojipenyeza na kupenyeza dini yao Ulaya jambo ambalo limebadili hali ya mambo. Akasema kutokana na hali hiyo sasa itabidi Wajerumani wajifunze kuona Misikiti mingi zaidi ya Makanisa waliyo kuwa wamezoea kuyaona huko nyuma. Kwa mujibu wa gazeti la Frankfurter Allgemeine Zeitung, si muda mrefu misikiti Ujerumani itakuwa mingi kuliko makanisa. My takeWasio kuwa vijana viongozi wa wakristo jiandaeni kufundishwa maadili ya kikristo nawatakieni kila la heri.Ukipata muda pitia hii link http://www.ena.lu/manifesto_christian_democratic_union_cdu-022500194.html

Watu kama hawa ndio wanao uangusha uislamu, Kwanini mtuhuyu asipigwe ban mbona analeta vita ya kidini wazi wazi kama si hivyo kwa nini asizungumzie mahusiano ya CDM na Conservative part ya uingereza? kwa nini usituaminishe kuwa Mstafa Sabodo anampango wa Kusilimisha CDM kwa misaada yake kwenye chama hiki unacho kiona cha kikatiliki wakati mwenyekiti wake pia sio mkatoliki na Naibu katibu mkuu wake sio Mkatoliki? Hivi Mbona Huyu Dr. Slaa mbona ana wasumbua sana hivi kasha waambia atagombea tena uraisi Mwaka 2015? Mbona mnapambana namtummoja wakati hii ni taasisi ? Leteni hoja ambazo zitatusaidia wote washikadini na wapagani maana hili taifa niletu wote......... Waislamu kama hamchukui hatua juu ya watu kama hawa hakika mtadharaulika kitu ambacho hakistahili hata kidogo.Ngoma hii aliianzisha ****** lakini mpaka sasa imemshinda na imeishia kumdhalilisha na kumvunjia heshima kwa jamii
 
Sokomoko umetumwa sio bure,lakini poa hujalazimishwa kujiunga na chadema,tuachie wakristu chama chetu we shetani!
 
Makamu Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA ni Mhe. Said Arfi, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Zubeiri Kabwe wote ni Waislamu. Bob Nyanga Makani ambaye alikuwa Mwenyekiti Taifa kabla ya Freeman Mbowe ni Mwislamu.

CHADEMA ni chama cha siasa. Hakina dini. Ni upuuzi mtupu kujadili dini ya Konrad Adenauer eti inahusiana na misaada itakayotolewa kuwezesha Slaa na Mbowe kupeleka vijana wa CHADEMA kwa mafunzo ya uongozi huko Ujermani.
 
mmmh nina wasi wasi na upeo wa kuchambua vitu wa sokomoko! wewe kama soko, huna marafiki wakristo? my point is, taqifa letu halina dini, ndo mana toka mwanzo tuliruhusu mashirika mengi tu ya kikristo yakaja kuwekeza katika elimu, mchango wake hakuna asiyeujua hata jk muulize, tatizo lenu watoto wa mamdogo hamridhiki, nafasi zipo sawa lakini hamzitumii, na hamjui kuwekeza katika elimu, na badala yake mnafundishana chuki tu kila kukicha, ccm imesaidiwamara ngapi na mataifa ya kiislam hatujaongea kitu? tunachojua ni kimoja tu rafiki huchaguliwa kwa mchango wake kwa mtu au kundi, na chadema hawajakubali dini wamekubali mchango wa kusomesha watu namna ya kuongoza! (funguka macho ujue umuhimu wa elimu)
 
Mazee,

Unajua kuna vitu ukisikia na kumeza vizima vizima, unaamini na kudhani ni kweli.

German nimefika mara kadhaa na nimeongea na Wajeruman wengi sana na jamaa ambao wameishi German miaka mingi.

Hiyo hali uliyoandika hapo si kweli hata kidogo. German ni moja ya nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na watu wasioamini. Jamaa wakitaka, wanabadilisha mambo hata bila kusema sana. Kama ulifika Berlin miaka ya 90 wakati karibu Berlin yote ikiwa ni BUILDING SITE, kulikuwa na wageni wengi sana. Kulikuwa na mpingo kama vile umefika Africa, Waarabu kama vile umefika Uarabuni, nk nk. Ukifika sasa hivi huwezi amini jinsi walivyosafisha na mipingo wote wamekimbia.

Pia hata hao Waislaam, wao wakija ni kweli wanakuwa na dini ila watoto wao wanaanza kuchukua tabia na mila za Ki-German. Ulevi, Ufuska, Ustaarbu, Hard work na mengine mengi wanayosifika Wajeruman.

Vijana wa Kiarabu huwa ndiyo wanaoongoza kwa ULEVI wa kupindukia. Wanabadilisha wanawake kama hawana akili nzuri na kama wanatoka Saudi Arabia na wana hela, wanatumia vibaya sana UHURU wanaoukuta Ulaya.

Hizo blaa blaa zako, waambie washamba wenzio wasiofahamu kitu gani hasa kinaendelea huko Ulaya. Wazungu kama wakiona wanazidiwa, watabadilisha tu mapigo na kuwafukuza kwa makosa hata madogomadogo Waarabu. Watoto wao wengi watabaki kuwa Wakristo au hata kuwa hawana dini. Hata kama wazazi wanawabana sana watoto, tumesikia mauwaji mengi ya mzazi akibishana na mwanae. Watoto Wamezaliwa Ulaya na kukulia Ulaya, wanakuwa wanataka kuishi kama Wa Ulaya na baba/mama akileta za kuleta, wanatukunana na hapo unazuka ugomvi mkubwa sana kati ya Mzazi na mtoto na hadi mzazi kumuuwa Mwanae.

Ikalaga baho.


Wee kufika Ujerumani na kushukia maghetto ya wabeba Box hakujakufundisha chochote........tupe Data kama alizotoa huyo bwana hapo ili uweze kupingana nae......wewe ndio mwenye Bla blaa........Naamini hata ukiachwa Frunkfut gafla utapata kichaa siku hiyo.........Bado una blancket nyingi machoni mwako muungwana......hizo safari zako za week moja moja hazijakufunza , hata hujui kujikatia ticket ya metro mwenyewe
 
We sokomoko huna hoja hapa,kwenye huo ushirikiano wa kutoa mafunzo CDU imesema itawachukua vijana wakristo tu toka CHADEMA?Chadema ni chama cha watanzania wote bila kujali dini
 
Ifafika wakati wataendelea wale tu wanaopenda kuendelea wasiopenda kuendelea watabaki hapo walipo. Lakini nasema itikadi za siasa kali za kiislamu ni bomu tunalokalia na umaskini katika nchii unachangiwa kwa asilimia 30 na dini hii.
 
Watu wengine bwana ni hopeless sana, na haya ni matokeo ya wazazi badala ya kuwapeleka watoto shule mnawapeleka madrasa? mnasababisha wakose uelewa wa mambo mengine na kujaa mitizamo ya udini tu,hata pale wengine wanapowaza kufanya mambo very crucial kwa maendeleo ya taifa letu eti kwa kuwa tu wanatofautiana imani zao za dini this is rediculas! panua ufahamu wako uko dunia gani wewe premitive age? wakati wengine wanaweka pembeni dini zao na ku join ili wajipatie maendeleo wewe unawaza dini? shule, shule! sio mambo ya hadithi hapa za madrasa! Chadema kuhusiana na hao christianity party wajerumani sio dhambi tena nia yenyewe ni kufundisha maadili ya uongozi kwa vijana,we kwako hilo si jema? unataka nini sasa? viongozi wasio na maadili kama tulionao kwenye serikali yetu? plz let us change our thinking,bila shaka wewe mtoa hii mada ni mfuasi wa alquaeeda you better join them in afghanistan,pakstani,somalia na pengine popote walipo duniani huko ndiko mkajadili upuuzi wenu sio jf sisi ni G thinkers we don rely in uncivilised matters. CHADEMA TUTASHIKAMANA PAMOJA bila kujali wewe ni mpagani,muislamu,budha,mhindu au mkiristo nia yetu ni moja tu kuleta ukombozi wa nchi yetu maana wenye dini zao ndio wanaoturudisha nyuma maana wana macho lakini hawaoni,wanamasikio lkn hawasikii,wanaubongo lkn hawatafakari wao wanaona udini tu! shame on you!
 
Hapa ndipo umbumbu na uzoba wa wanaoijita wanautetea uislam unapoonekana, waislam ndo msemaji wenu huyu kweli mpo nyuma sana tena sana ktk kupembua mambo,una mahaba na dini mpaka kila kitu unaona islam inatengwa mwisho utachanganyikiwa!halafu mnachekesha huwa mnategemea wakristo wawasaidie ktk kuisimamisha imani yenu! Mbona turkey muslim wako smart sana kuliko nyie huku njaa nyingi!
 
Tukianza kuongelea hii kitu ni mbaya sana Kwa Taifa letu.Mods tunaomba uondoe hii kitu.ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA NIMEAMINI HILO<HUYO JAMAA AMEKATAA ELIMU DUNIA THAT"S WHY>TUSIMSHANGAE SANA
 
Wakuu hakuna haja ya kuvunjiana heshima kama elimu ninayo tena ya maana. Nilidhani hapa nitakutana na wajuzi wa kuchambua mambo na kuweka bayana upande wa pili wa shilingi kumbe nilikuwa napoteza muda wangu kutafuta facts! Anyway mie sijawakataza kuwa cdm au tadea ni juu yenu ila mjue Tanzania inajengwa na watu wa dini zote hizi propaganda zimefikia pabaya cdm imejitia kitanzi yenyewe. Ni kweli inashabikiwa na wengi lakini kwa hili watu wenyewe fikra pana watajiuliza mara mia. Kwani hamjui watu wa Arusha wanajuta majuto makuu? Waliambiwa waandamane kudai uchaguzi kwani wa awali ulikuwa batili je nyie mnaoshabikia uchaguzi umerudiwa? Na kama haukurudiwa je tutakufa wangapi ili kuupata urais ikiwa unaibu meya inabidi mfe watatu? Fungueni macho. Hivi kina Mwanakijiji hawaandiki hizi habari? Au hawajazipata bado?
 
Wakuu hakuna haja ya kuvunjiana heshima kama elimu ninayo tena ya maana. Nilidhani hapa nitakutana na wajuzi wa kuchambua mambo na kuweka bayana upande wa pili wa shilingi kumbe nilikuwa napoteza muda wangu kutafuta facts! Anyway mie sijawakataza kuwa cdm au tadea ni juu yenu ila mjue Tanzania inajengwa na watu wa dini zote hizi propaganda zimefikia pabaya cdm imejitia kitanzi yenyewe. Ni kweli inashabikiwa na wengi lakini kwa hili watu wenyewe fikra pana watajiuliza mara mia. Kwani hamjui watu wa Arusha wanajuta majuto makuu? Waliambiwa waandamane kudai uchaguzi kwani wa awali ulikuwa batili je nyie mnaoshabikia uchaguzi umerudiwa? Na kama haukurudiwa je tutakufa wangapi ili kuupata urais ikiwa unaibu meya inabidi mfe watatu? Fungueni macho. Hivi kina Mwanakijiji hawaandiki hizi habari? Au hawajazipata bado?
ni kweli una elimu ahkera hauna zaidi ya hapo
 
Wakuu hakuna haja ya kuvunjiana heshima kama elimu ninayo tena ya maana. Nilidhani hapa nitakutana na wajuzi wa kuchambua mambo na kuweka bayana upande wa pili wa shilingi kumbe nilikuwa napoteza muda wangu kutafuta facts! Anyway mie sijawakataza kuwa cdm au tadea ni juu yenu ila mjue Tanzania inajengwa na watu wa dini zote hizi propaganda zimefikia pabaya cdm imejitia kitanzi yenyewe. Ni kweli inashabikiwa na wengi lakini kwa hili watu wenyewe fikra pana watajiuliza mara mia. Kwani hamjui watu wa Arusha wanajuta majuto makuu? Waliambiwa waandamane kudai uchaguzi kwani wa awali ulikuwa batili je nyie mnaoshabikia uchaguzi umerudiwa? Na kama haukurudiwa je tutakufa wangapi ili kuupata urais ikiwa unaibu meya inabidi mfe watatu? Fungueni macho. Hivi kina Mwanakijiji hawaandiki hizi habari? Au hawajazipata bado?

unapotaka mabadiliko kumbuka huwa si kazi rahisi unatakiwa uwe tayari hata kutoa uhai kama walivyofanya babu zetu wakati wa kupigania uhuru
hivi huoni hata nchi za kiarabu wanavyofanya kwa ajili ya mabadiliko? waislamu acheni kuwa mnalalamika hovyo tu hivii majuzi tembo wetu wameibwa kupelekwa saudi arabia lakini umesikia mtu analalamika kusema kwamba ni waislamu? benki sasa hivi zinalazimishwa kusaign mikataba ili wawe wanatoa huduma za kibenki za kiislamu tayari stanbic imeanza na bado wanahangaika na benki za serikali kama NBC, NMB na CRDB kuzishawishi zisaign huo mkataba, ukienda stanbic unaulizwa unataka form ya kawaida au ya sharia na hata wahudumu wapo kina dada wenye
ushungi kwa ajili kuhudumia waislamu lakini haya yote wewe sokomoko huandiki unakalia ujinga.
Hospitali za bugando na KCMC pamoja na nyingine nyingi za dini za kikristu mnalalamikia zisipewe fedha toka serikalini wakati zinawasaidia mpaka ninyi kwani pale huulizwi dini ukienda kutibiwa. Basi zisusieni msiende kutibiwa maana zinafadhiliwa na wakristo muone wengi wenu mtakavyokufa.
Kwenye nchi za kikristo mnataka kuingiza dini yenu kwa nguvu na mnaachiwa mnafanya mnavyotaka nyie nchi za kiislamu mnauwa wakristu hayo kina sokomoko hawaoni. Makanisa yalyochomwa moto zanzibar ingekuwa ndio misikiti imechomwa moto hii nchi isingekalika saa hizi.
Misaada ya kiislamu mingi huwa haina tija kwa jamii nzima, mfano ujenzi wa misikiti na madrasa unaofanywa na kina ghadafi nk.
ni lini mtaacha kulalamika ninyi na kuangalia mambo ya maana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom