Jamani tusiliingilie Jeshi katika kazi zake, hata kama mkuu wa majeshi na rafiki zake wakigawana pesa za walipa kodi tusiwaulize hawa watu, ni siri maana maadui wakijua hili watajua kwamba jeshi letu badala ya kununua silaha linagawana pesa hivyo tunaweza kushambuliwa na maadui, Tusiwaguse kabisa hawa watu waendelee kuilinda hii amani tunayojivunia
Alisema iwapo Dk. Mwakyembe atachaguliwa ni vyema wakamweleza kuwa mambo ya CCM yaishie nje na siyo bungeni kwa kuwa serikali yake itakuwa na wabunge wengi wa upinzani.
"Kama mtamchagua Dk. Mwakyembe na mimi nikawa Rais wake tutafanya kazi vizuri sana kwa kuwa wote tunapingana na mafisadi," alisema Dk. Slaa.
Africa - Asia Confidential
February 2010
Vol 3 N0 4
subscription required
article preview
TANZANIA | INDIA Untoward Indian tillers
A US$40 million concessionary loan from the Indian government is mired in delays, a legal review and accusations of corruption. Moreover, the mix of army-owned enterprises, tied aid and squabbling agents around the deal is raising eyebrows in diplomatic and business circles. The loan, managed by the Export-Import Bank of India, is for the purchase of power tillers (walking tractors). Specifically, it is for Indian power tillers, as 85% of the loan is tied to Indian goods and services.
Article Tags:
Indian, Tanzanian, Jeetu Patel, Yusuf Manji, Peter Mizengo Pinda, Abdulrahman Shimbo, Kilimo Kwanza, Jeshi la Kujenga Taifa, Kilimo Kwanza, Chama cha Mapinduzi
My take:
Ujumbe gani unaupata hapa kuhusu Lt. Gen. Shimbo hasa ukiangalia 'article tags'? TPDF kuingilia usalama wa raia kwa nini? Je, hii ni moja ya sababu za kiwewe cha Shimbo na makombora ya Dr. Slaa?

Anajua kwamba Dr. Slaa anapoingia ikulu punde tu baada ya 31/10/2010 atatakiwa kuwaeleza watanzania anahusikaje na uchotaji wa fedha za umma kwa kisingizio cha kilimo kwanza na ma-power tiller ya kihindi. Anaogopa segerea ndio maana ameanza kubwata mapema ili kutisha watu.
akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.
Una maana gani kwenye ujumbe wako?Akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku Dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.
Una maana gani kwenye ujumbe wako?
Unaogopa kuchukulia hatua watu wanaolitia matope jeshi?
Jeshi letu ni takatifu ila kuna viroboto wachache wa kuwasafisha watoke humo.
Watu aina ya SHIMBO ndo wanaolifanya jeshi letu liwe na wavunja matofali kwa kichwa badala ya kutumia akili kuvunja matofali.
Kaka kuna mengine unayoyajua ya Jenerali Shimbo yamekufanya ufikie kutoa hatia hii ama ni hili la tu la kukemea/kutishia ukombozi wenu tu...
Salaam
Kwani yeye hana mdomo? Yeye si msemaji wa JWTZ? Ina maana ana ujuzi na uzoefu wa kujieleza.
Ameambiwa kwanza kama yeye ni Msemaji kweli wa Jeshi basi na aseme vile VISENTI vya Meremeta vilienda wapi?
Aje aongeze na hili na kumalizia zile za kuuza Silaha Rwanda, Burundi na Uganda wakishirikiana na Mrusi Victor.
Acha kabisa Mkuu, watu wakitaka kukupekua, watakuacha uchi. Ameyakoroga, acha ayanywe mwenyewe.
Kwa bahati mbaya sana kwake, Dr. Slaa ana Mkuki na hamwachi apite salama.