Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

mmh Dk Slaa sasa ni tishio.....hatuogopi risasi na kwa taarifa yenu nyie makamanda, hata murete rifaru vyenu aisee..tutalala barabarni tukanyageni tu, wezi wwakubwa nyie.....sie tushachoka bana!!
 
Wanajeshi wanatekeleza walichotumwa maana taarifa za chini chini zinasema JK aliwaalika wakuu wa vikosi vyote vya jeshi na kuwaambia kwamba mambo kwa CCM sio mazuri na mwelekeo ni kwamba CHADEMA iko likely ushinda. Walipomuuliza mbona kuna hata vyama vingine kama CUF akasema hivyo ni vikundi sio vyama.

Akasema akishindwa ni bora wao kuchukua nchi kuliko CHADEMA kutangazwa mshindi? Huu sio uzushi na huyu General sio kwamba alikurupuka, it is a strategic plan inayoanzia kwa JK.

Kwa hiyo watanzania tujiandae, huyu mkwele ameshajiandaa na familia yake kutokomea anakojua na wanajeshi ndo watatawala. Ee mungu epusha hili janga ! lakini tupe ujasiri wa kuiondoa CCM madarakani tupate mwanzo mpya.
 
Ukiona mambo yanafikia hapa ujue ngoma ndio imeanza hivyo. Nasubiri kusikia tamko la haramia kinana kuhusu wezi wa meremeta.
 
Jamani tusiliingilie Jeshi katika kazi zake, hata kama mkuu wa majeshi na rafiki zake wakigawana pesa za walipa kodi tusiwaulize hawa watu, ni siri maana maadui wakijua hili watajua kwamba jeshi letu badala ya kununua silaha linagawana pesa hivyo tunaweza kushambuliwa na maadui, Tusiwaguse kabisa hawa watu waendelee kuilinda hii amani tunayojivunia

Si kwamba adui akijua wanapenda pesa watakuwa hawajanunua hizo silaha bali atawakatia tu hiyo mibilioni nao wataacha kupigana!
 
Lt. Gen. Shimbo sijui ana angaika vipi na hilo Kombora - maanake yeye kazoea kukaa comanding post tu?
 
Alisema iwapo Dk. Mwakyembe atachaguliwa ni vyema wakamweleza kuwa mambo ya CCM yaishie nje na siyo bungeni kwa kuwa serikali yake itakuwa na wabunge wengi wa upinzani.

"Kama mtamchagua Dk. Mwakyembe na mimi nikawa Rais wake tutafanya kazi vizuri sana kwa kuwa wote tunapingana na mafisadi," alisema Dk. Slaa.

Dr. Slaa kweli nimekukubali tena kwa mara nyingine, wewe ndiye mpinzani ambaye unafahamu maana ya upinzani.

Si kwamba CCM wote ni washenzi bali kuna wazuri kama akina Makyembe na Kilango ambao kwa pamoja wanajishughulisha na maslahi ya Taifa hili. Tena kwa Kyela Mwakyembe apite tu, na Chadema wapatata kwingine.

Siku zote tukubali pale penye political comparative advantage basi aachwe jamaa kama pia anajali maslahi ya wazalendo. Bravooooooooooooo Dr. Slaa.
 
Africa - Asia Confidential

February 2010

Vol 3 N0 4

subscription required

article preview

Tanzania.gif
TANZANIA | INDIA Untoward Indian tillers

A US$40 million concessionary loan from the Indian government is mired in delays, a legal review and accusations of corruption. Moreover, the mix of army-owned enterprises, tied aid and squabbling agents around the deal is raising eyebrows in diplomatic and business circles. The loan, managed by the Export-Import Bank of India, is for the purchase of power tillers (walking tractors). Specifically, it is for Indian power tillers, as 85% of the loan is tied to Indian goods and services.

Article Tags:
Indian, Tanzanian, Jeetu Patel, Yusuf Manji, Peter Mizengo Pinda, Abdulrahman Shimbo, Kilimo Kwanza, Jeshi la Kujenga Taifa, Kilimo Kwanza, Chama cha Mapinduzi

My take:
Ujumbe gani unaupata hapa kuhusu Lt. Gen. Shimbo hasa ukiangalia 'article tags'? TPDF kuingilia usalama wa raia kwa nini? Je, hii ni moja ya sababu za kiwewe cha Shimbo na makombora ya Dr. Slaa?
 
Anajua kwamba Dr. Slaa anapoingia ikulu punde tu baada ya 31/10/2010 atatakiwa kuwaeleza watanzania anahusikaje na uchotaji wa fedha za umma kwa kisingizio cha kilimo kwanza na ma-power tiller ya kihindi. Anaogopa segerea ndio maana ameanza kubwata mapema ili kutisha watu.
 
Kinachotakiwa wenzetu wanaopanda majukwaani waitoe kwa wananchi ili mtandao wa mafisadi unaojidai kutetea AMANI NA UTULIVU ujulikane kwa wananchi ili hao wanaojiita maofisa wa jeshi VIWANGO VYA UADILIFU WAO VIJULIKANE.Maana hawa akina Shimbo wamejificha kwenye ngozi ya zamani ya JWTZ ya enzi ya mwl.nyerere.JWTZ YA LEO NI KICHAKA CHA MAFISADI.Hii iwekwe wazi naye anyamazishwe.
 
Africa - Asia Confidential

February 2010

Vol 3 N0 4

subscription required

article preview

Tanzania.gif
TANZANIA | INDIA Untoward Indian tillers

A US$40 million concessionary loan from the Indian government is mired in delays, a legal review and accusations of corruption. Moreover, the mix of army-owned enterprises, tied aid and squabbling agents around the deal is raising eyebrows in diplomatic and business circles. The loan, managed by the Export-Import Bank of India, is for the purchase of power tillers (walking tractors). Specifically, it is for Indian power tillers, as 85% of the loan is tied to Indian goods and services.

Article Tags:
Indian, Tanzanian, Jeetu Patel, Yusuf Manji, Peter Mizengo Pinda, Abdulrahman Shimbo, Kilimo Kwanza, Jeshi la Kujenga Taifa, Kilimo Kwanza, Chama cha Mapinduzi

My take:
Ujumbe gani unaupata hapa kuhusu Lt. Gen. Shimbo hasa ukiangalia 'article tags'? TPDF kuingilia usalama wa raia kwa nini? Je, hii ni moja ya sababu za kiwewe cha Shimbo na makombora ya Dr. Slaa?

And this is enough for you to draw conclusions???? Halafu mnawashangaa wanaochagua CCM kila kukicha....Mmeshindwa hata kutafuta story yenyewe na kuisoma?
 
Watasema umeandika mwenyewe, ngoja niongeze image yake nzima nzima

ASIA-Africa.jpg

Attachments

  • ASIA-Africa.JPG
    ASIA-Africa.JPG
    102.6 KB · Views: 414
Anajua kwamba Dr. Slaa anapoingia ikulu punde tu baada ya 31/10/2010 atatakiwa kuwaeleza watanzania anahusikaje na uchotaji wa fedha za umma kwa kisingizio cha kilimo kwanza na ma-power tiller ya kihindi. Anaogopa segerea ndio maana ameanza kubwata mapema ili kutisha watu.

Akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku Dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.
 
Lt. Gen. Shimbo,
Hivi ilikuwaje mpaka ukaamua kuvunja miiko ya utumishi wako na kuanza kuingilia siasa, tena za majitaka ?
Hivi hukujua kwamba hata huko jeshini pia kumeoza?
Unaona sasa wanasiasa wamekuingiza mkenge, unatakiwa kweli uwaeleze waTZ hizo helo zilikoishia. Bila kueleza, ili utushawishi kukubaliana na wewe, tutaendelea kuamini kuwa hizo pesa mlizifisadi.
Hako ka "kinga-feki" kwamba tusulizeulize maswala ya jeshi hakana nguvu maana kuna halufu mbaya (soma ya ufisadi) huko.
Mheshimiwa, mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe: mambo ya wanasiasa waachie wenyewe.
 
akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.

wacha uoga mtoo
 
Akitaka kupinduliwa aanze hizo ngebe za kufanya mizaha na jeshi. Mimi nafikiri, siku Dr. Slaa akiingia madarakani akae nao aone ni namna gani wanaweza kufanya naye kazi bila vikwazo. Lakini akiingia na kutaka kuanza kuwadodosa juu ya wanayofanya au waliyofanya ilahali wao wenyewe ndiyo wanaomlinda, wala hawatamwacha.
Una maana gani kwenye ujumbe wako?
Unaogopa kuchukulia hatua watu wanaolitia matope jeshi?
Jeshi letu ni takatifu ila kuna viroboto wachache wa kuwasafisha watoke humo.
Watu aina ya SHIMBO ndo wanaolifanya jeshi letu liwe na wavunja matofali kwa kichwa badala ya kutumia akili kuvunja matofali.
 
Kaka kuna mengine unayoyajua ya Jenerali Shimbo yamekufanya ufikie kutoa hatia hii ama ni hili la kukemea/kutishia ukombozi wenu tu...

Salaam
 
Kwani yeye hana mdomo? Yeye si msemaji wa JWTZ? Ina maana ana ujuzi na uzoefu wa kujieleza.

Ameambiwa kwanza kama yeye ni Msemaji kweli wa Jeshi basi na aseme vile VISENTI vya Meremeta vilienda wapi?

Aje aongeze na hili na kumalizia zile za kuuza Silaha Rwanda, Burundi na Uganda wakishirikiana na Mrusi Victor.

Acha kabisa Mkuu, watu wakitaka kukupekua, watakuacha uchi. Ameyakoroga, acha ayanywe mwenyewe.

Kwa bahati mbaya sana kwake, Dr. Slaa ana Mkuki na hamwachi apite salama.

Kaka kuna mengine unayoyajua ya Jenerali Shimbo yamekufanya ufikie kutoa hatia hii ama ni hili la tu la kukemea/kutishia ukombozi wenu tu...

Salaam
 
Kwani yeye hana mdomo? Yeye si msemaji wa JWTZ? Ina maana ana ujuzi na uzoefu wa kujieleza.

Ameambiwa kwanza kama yeye ni Msemaji kweli wa Jeshi basi na aseme vile VISENTI vya Meremeta vilienda wapi?

Aje aongeze na hili na kumalizia zile za kuuza Silaha Rwanda, Burundi na Uganda wakishirikiana na Mrusi Victor.

Acha kabisa Mkuu, watu wakitaka kukupekua, watakuacha uchi. Ameyakoroga, acha ayanywe mwenyewe.

Kwa bahati mbaya sana kwake, Dr. Slaa ana Mkuki na hamwachi apite salama.

Haya ya Meremeta si walimuuliza katika kamati za bunge na akawapa majibu. Wanashindwa nini kuyasema sasa? By the way hata Msanii anaweza kujibu mwenyewe
 
Back
Top Bottom