Siwezi kuwa ombaomba-Ngereja!!!!!

Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.

Kweli hicho kitakuwa kiburi cha hela tu! na jk ili kumwonyesha anaweza kuwa omba omba afanye kuwawajibisha ndo ataona kiburi chao!
 
Kajipanga vilivyo na maisha ni mkweli kwani anaamini kuwa hakuzaliwa kuwa waziri, nafikiri maisha yataenda hata asipokuwa waziri,,,,,,,, atapunzika na kelele za ZZK na timu yake.

Hata ku make mpunga wa jasho la wanaume wa Tz utapungua
 
yaani bora aikimbie nchi mapema, yatakayo mkuta 2015 pamoja na kibara wake R1 ni makubwa
 
daah kweli jamiiforum sasa no different between uturnbloogsport na kwa tedy kalonga tk yani umbea wa kijinga jinga tu nani kawapa habari za kipuuzi kama hizo huyo dada kapata wapi confidence ya kumpa pole ngereja
 
Awe amesema awe hajasema kinachotakiwa pesa yetu arudishe....kwanza mtu mwenyewe huwa anavishobokea videmu sana,pengine bcoz aliona kuna demu akashobokea,sii huyu huyu ndio aliyemuhonga demu $3000 kwenye ndege au?

Spika speak it loud mkuu .Unasema alihonga dola 3000 kisa nini ? Hebu tuwekee hii sawa for our own records kesho
 
Babu aliwai nambia kuwa ela ya wizi(kama za mawaziri) na ela za dhuluma kama za matrafic huwa hazina maisha marefu kwa mtumiaji.
Bse zote hutokana na kunyonywa kwa kundi fulani la watu
Mungu huawapatiliza hawa waliokwiba
 
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.

Ngeleja hawezi kuwa ombaomba kwa sababu kashaiba sana.

Bongo hamna customer service wala sense of privacy. Mie wahudumu kama hawa ntagombana nao kila siku. We mhudumu, mie mteja, nihudumie, usinihurumie. Pole? Kwa yapi?

Kama mie ndio mwenye duka namfukuzia mbali kazi huyo muhudumu wa duka. Wewe uko hapo kuhudumia watu, sio kujiingiza katika maisha yao na kuwapa pole kwa mambo ambayo hata huyaelewi. Unaweza kukutana na ex-waziri mwingine kichaa unampa pole anatake offense anakuzaba kibao.

Pole kwani kakatwa mguu? Kusema kwamba uwaziri ulikuwa ni sehemu ya mwili wake na sasa katolewa uwaziri hawezi kutembea?

You don't get too familiar with a customer like that. Pengine mkewe anaweza kukushuku una lako jambo na pole ni kutafuta ukaribu zaidi tu.

We have a long way to go.
 
huyu jamaa yupo vizuri sanaaa kifedha kwan mwanza amewekeza kibao( wizi mkubwa) na machimboni ameweka ndugu zake idara nyeti mpaka wale wa darasa la nne, yani kazi kweli kweliii....

Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.
 
SIZITAKI MBICHI HIZI [sungura karuka, karuka tena karuka, kachoka hadi mkia]
 
Utoto,kibri na umbumbu unaanza kujionyesha kwa mawaziri wa jk..baada ya kauli tata ya jana ya mzee wa twiga wa ngorongoro kwamba "ccm siyo mama yangu"leo tena mwingine kaibuka eti pamoja na kuvuliwa uwaziri hawezi kua ombaomba...kauli hii kaitoa mzee wa vibatali(Ngereja)kwenye moja ya maduka(supermarket)alipopewa pole na dada mmoja ambaye ni muudumu wa duka hilo...sasa hizi kauli zinaonyesha ni kiasi gani walivyochuma vya kutosha na katu ata wakiishi miaka 200 hawawezi kupata shida ya pesa.

Huyu jamaa ni fisadi (its obvious) but hii habari imekaa kiudaku sana, i think hata asingukua waziri asingeweza kuwa omba omba, he had a well established career before:so on my take iyo si kauli ya kushangaza maybe kama unajua deep down alikua na maana gani nyuma ya hayo maneno...all in all aibu imemjaa now.
 
kwa maisha ya kawaida ni vigumu mtu kama huyu aliyevuliwa uwaziri tena kwa kashfa iliyotawala vyombo vya habari vyote kwa muda,eti wewe umpe pole kwa kuvuliwa uwaziri!hizo nguvu za kumpa pole unapata wapi?tena kwenye supermarket?mmmmmh haijakaa sawa!
 
Kwani si atabaki kuwa Mbunge. Sasa awe ombaomba kivipi..... Jibu hilo mahali pake.
 
Watu wengine bana, ulitaka alie kama mtoto, au ulitaka aseme kwamba hana uhakika wa kula? Kwani kabla ya kuwa waziri alikuwa omba omba?

Hivi ni vitu vya kawaida katika maisha,,,take them easy!

Inaonekana hata wewe ni mwizi. Wizi ni kitu cha kawaida katika maisha ya wezi, utaadhibiwa naye siku cdm wakichukua nchi.
 
Hata tusingeyasikia haya maneno kutoka kwake bado tulikuwa tunajua jamaa keshachuma sana!!
Ndiyo maana kawajibishwa na JK!
 
Back
Top Bottom