Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kama kuna kitu ambacho sipendi kitokee maishani ni kuacha kutandika kitanda baada ya kuamka
Hivi wewe unaamka unamwachia nani akutandikie kitanda chako,,,kuna familia yaani wanandoa mwenzao mmoja akiondoka nakwambia ni balaa tupu akikaa siku tatu anakuta chumba jalala ...yaani hata kitanda atandiki baya zaidi mtu huyo shuka tangu aache nazo jamani hata kuamka kuingia kabatini utandike shida????jamani kwa nini....tujipende nasema hili kwa msaada wa baadae kama ujaoa ama kuolewa utalijua hili yakikufika.na kama tayari na mwenzio mnalala nae chumba kimoja wa mwisho atandike kitanda ...jamani usiwe tegemezi ati mkeo ndio wa kutandika kitanda mwenyewe..nani kakwambia............,jamani wenye ndoa zao...pendeni usafi mwanaume mkeo kaamka asubuhi na mapema...ukiamka saa tatu tandika kitanda...angalia manzari ya chini kuchafu usiite house girl kutandika ama kusaficha chumba chako....acheni hizi...chukua fagio fagia yeye atatupa uchafu nje...same kwa wanawake...usafi wa chumbani mwako ni muhimu sana....anza sasa...
kila la kheri
 
ndio mafundisho hayo...jamani tuhimili ndoa zetu
 
Mambo ya ndani hayo kaka ndo mana hamna mtu anayekujibu! umegusa wengi

mkuu yaani hata akiisoma mtu akaielewa na kuifanyia kazi mi furaha yangu.....aitaji kuongeza labda ana zaid
 
Kama kuna kitu ambacho sipendi kitokee maishani ni kuacha kutandika kitanda baada ya kuamka
Hivi wewe unaamka unamwachia nani akutandikie kitanda chako,,,kuna familia yaani wanandoa mwenzao mmoja akiondoka nakwambia ni balaa tupu akikaa siku tatu anakuta chumba jalala ...yaani hata kitanda atandiki baya zaidi mtu huyo shuka tangu aache nazo jamani hata kuamka kuingia kabatini utandike shida????jamani kwa nini....tujipende nasema hili kwa msaada wa baadae kama ujaoa ama kuolewa utalijua hili yakikufika.na kama tayari na mwenzio mnalala nae chumba kimoja wa mwisho atandike kitanda ...jamani usiwe tegemezi ati mkeo ndio wa kutandika kitanda mwenyewe..nani kakwambia............,jamani wenye ndoa zao...pendeni usafi mwanaume mkeo kaamka asubuhi na mapema...ukiamka saa tatu tandika kitanda...angalia manzari ya chini kuchafu usiite house girl kutandika ama kusaficha chumba chako....acheni hizi...chukua fagio fagia yeye atatupa uchafu nje...same kwa wanawake...usafi wa chumbani mwako ni muhimu sana....anza sasa...
kila la kheri

Hivi jamaume la Kisukuma au Kihaya utaliambia litandike kitanda litakusikia??? iwe bojooo!
 
Mambo ya ndani hayo kaka ndo mana hamna mtu anayekujibu! umegusa wengi

Mkuu una kipaji cha hali ya juu. Umejuaje kama mtoa mada ni HE? Maelezo yake yanaonyesha kama vile ni dada anaelezea tabia za mmewe! Sijawahi kuona mwanaume analalamika mkewe hatandiki kitanda...... We ulishawahi ona?
 
Hivi jamaume la Kisukuma au Kihaya utaliambia litandike kitanda litakusikia??? iwe bojooo!

Inategemea na jinsi alivyolelewa na wazazi/walezi wake,kuna wanaume
wamelelewa vizuri kweli kweli. Wanafahamu kazi zote zinazotakiwa kufanyika ndani ya nyumba. Hivyo haijalishi kabila hapa, sana sana ni malezi..........kama alipata mzazi/mlezi mzuri huyo mwanaume atatandika tu kitanda.
 
sasa kama nitatandika na kitanda haina maana ya kulala na dada enu jamani
 
Huu uvivu wa kutandika ndio huwa unafanya mahausigeli wazoee sana vyumba vya matajiri.Na huu uvivu wakati mwingine hauishii kwenye kutandika vitanda tu,hadi chupi za mabosi mahausigeli wanafua.Sasa wakiwa ndio mama wenye nyumba kweli walaumiwe?
 
Inategemea na jinsi alivyolelewa na wazazi/walezi wake,kuna wanaume
wamelelewa vizuri kweli kweli. Wanafahamu kazi zote zinazotakiwa kufanyika ndani ya nyumba. Hivyo haijalishi kabila hapa, sana sana ni malezi..........kama alipata mzazi/mlezi mzuri huyo mwanaume atatandika tu kitanda.

Mimi si msukuma lakini sikumbuki mara ya mwisho nimetandika kitanda lini.... Pdidy sorry, I can't marry you.
 
Hivyo mfano siku mkeo ametangulia kuamka kakuacha bado umelala, mkeo yule ameenda sehemu/kazini au kwenye mishughuliko. Huku nyuma ukaamka, je utaacha kitanda bila kutandika hadi mkeo arudi au?
 
mambo ya kuzingatia mtu ukiamka,

1: unasali (kama unadini)
2:unatandika kitanda
3:unafanya mazoezi kidogo kuweka viungo sawa
4:piga mswaki na uoge
5:pata kifungua kinywa
6:nenda kazini na hakikisha umeaga nyumbani na kusalimiana na watoto na ndugu(kama unao)
 
Hivyo mfano siku mkeo ametangulia kuamka kakuacha bado umelala, mkeo yule ameenda sehemu/kazini au kwenye mishughuliko. Huku nyuma ukaamka, je utaacha kitanda bila kutandika hadi mkeo arudi au?

Alishawahi kusafiri wiki nzima. Aliporudi alikuta shuka na neti vipo kama alivyoviacha! Manake nachomoka kwenye neti kama panya. Soksi na viatu alivikuta vimetapakaa kwenye sakafu. Bahati yake ch.upi ziliniishia nikaanza kufua. Hivi sasa akisafiri maximum ni siku tatu!
 
.........Na umempata huyo mwanamke, inaelekea anakuvumilia kweli kweli. Mimi ningempata mwanaume mwenye tabia kama hiyo yako, kwenye hicho kipengele cha usafi wa ndani tungeshindwana. Raha ya wapenzi msaidiane kazi hata za ndani,sio msaidiane/ mshirikiane kwenye majambozi tu.
 
Huu uvivu wa kutandika ndio huwa unafanya mahausigeli wazoee sana vyumba vya matajiri.Na huu uvivu wakati mwingine hauishii kwenye kutandika vitanda tu,hadi chupi za mabosi mahausigeli wanafua.Sasa wakiwa ndio mama wenye nyumba kweli walaumiwe?

Mtaisoma tu hata kimya kimya!!
 
Raha mojawapo ninayofurahia kila siku ni pale mke wangu anapotandika kitanda chetu kwa mkao aupendao. Saa nyingine mtandiko wa kitanda huwa na ujumbe fulani kwangu. Hujui kwamba mtandiko unaweza kukueleza kwamba leo hakuna gwaride ama leo gwaride ni muhimu tena haraka? Hayo ni mawasiliano ya ndani ya wawili hao.

Sasa kama wewe unachukia sijui kama unatafakari. Kama ni mwanaume jifunze hilo, na kamani mwanamke kula nzoke hiyo. Kutandika kitanda could be ni kuvunja kikombe, hasa kama mzee kavimba kutoka alikotoka, akikuta mandhari fulani nyumbani anaelewa kama wewe unamjali au la. Hata jikoni kuna wakati mambo yanabadilika kukuletea ujumbe kwamba jiandae babu! Kwa baya au zuri. Utaendelea kulalamika kama hujui kusoma maandishi ukutani na kitandani. Kalagha baho.

Leka
 
.........Na umempata huyo mwanamke, inaelekea anakuvumilia kweli kweli. Mimi ningempata mwanaume mwenye tabia kama hiyo yako, kwenye hicho kipengele cha usafi wa ndani tungeshindwana. Raha ya wapenzi msaidiane kazi hata za ndani,sio msaidiane/ mshirikiane kwenye majambozi tu.

Huyo uliyenaye vipi? By the way kipi bora kwa mwanaume: Anayekupa majambo kisawasawa au anayefanya usafi kama mwanamke lakini kwenye majamboz hamna kitu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom