Jamani sio kupangiana zamu bali ni kufanya kwa upendo. Hebu fikiri mtu anasafiri akirudi anakuta chumba hakijulikani mlango upo wapi na kabati lipo wapi. Ch*#i zimetapakaa kila mahali, kitanda shaghalabaghala na viatu ndo usiseme..hivi hata hamu ya majamboz itakuwepo kweli