Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

Raha mojawapo ninayofurahia kila siku ni pale mke wangu anapotandika kitanda chetu kwa mkao aupendao. Saa nyingine mtandiko wa kitanda huwa na ujumbe fulani kwangu. Hujui kwamba mtandiko unaweza kukueleza kwamba leo hakuna gwaride ama leo gwaride ni muhimu tena haraka? Hayo ni mawasiliano ya ndani ya wawili hao.

Sasa kama wewe unachukia sijui kama unatafakari. Kama ni mwanaume jifunze hilo, na kamani mwanamke kula nzoke hiyo. Kutandika kitanda could be ni kuvunja kikombe, hasa kama mzee kavimba kutoka alikotoka, akikuta mandhari fulani nyumbani anaelewa kama wewe unamjali au la. Hata jikoni kuna wakati mambo yanabadilika kukuletea ujumbe kwamba jiandae babu! Kwa baya au zuri. Utaendelea kulalamika kama hujui kusoma maandishi ukutani na kitandani. Kalagha baho.

Leka

Binamu nimekugongea senks kule, kaangalie. That means kazi ya kutandika kitanda ni ya mwanamke! FULL STOP!
 
Huyo uliyenaye vipi? By the way kipi bora kwa mwanaume: Anayekupa majambo kisawasawa au anayefanya usafi kama mwanamke lakini kwenye majamboz hamna kitu?

Bora ni yule ambaye tunapeana majambozi kisawa sawa na kusaidiana katika mambo mengine kisawa sawa.
 
.........Na umempata huyo mwanamke, inaelekea anakuvumilia kweli kweli. Mimi ningempata mwanaume mwenye tabia kama hiyo yako, kwenye hicho kipengele cha usafi wa ndani tungeshindwana. Raha ya wapenzi msaidiane kazi hata za ndani,sio msaidiane/ mshirikiane kwenye majambozi tu.

hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa
 
Bora ni yule ambaye tunapeana majambozi kisawa sawa na kusaidiana katika mambo mengine kisawa sawa.

Usikwepe swali mama! Chagua kimoja. Anayekupa majamboz kisawasawa lakini usafi hana taimu nao na mwingine anayekusaidia usafi na kupika lakini kitandani jogoo la kibisa. Chagua mmoja twende sawa mama!
 
hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa

Ndio maana nikasema kuna wanaume wanajua kucare kila sehemu kuanzia kitandani hadi kwenye kazi za ndani.

Mwanaume kama huyu anayekusaidia kazi za ndani na anajua mwenzangu muda mwingine naye anachoka ni mzuri sana, na kila siku mwanamke utamuona wa maana sana na utajihisi kweli unapendwa.
 
Hongera FL1 una bahati kama nini!
 
hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa

please kaa mbali na ZD wangu. Utaniharibia!
 
Usikwepe swali mama! Chagua kimoja. Anayekupa majamboz kisawasawa lakini usafi hana taimu nao na mwingine anayekusaidia usafi na kupika lakini kitandani jogoo la kibisa. Chagua mmoja twende sawa mama!

Nadhani huyu wa pretty anayaweza yote,anajua ku-care na majambozi hayo ndo usiseme.Kila fani amebobea.
 
raha ya ndoa MAJAMBOZI BANA!kutandika kitanda????......HELL TO THE NO!
 
Ndio maana nikasema kuna wanaume wanajua kucare kila sehemu kuanzia kitandani hadi kwenye kazi za ndani.

Mwanaume kama huyu anayekusaidia kazi za ndani na anajua mwenzangu muda mwingine naye anachoka ni mzuri sana, na kila siku mwanamke utamuona wa maana sana na utajihisi kweli unapendwa.

thanks Pretty mie huwa namshangaa sometimes hahah
 
Kama ulikuwepo vile shost, my hubby kabobea kote kote.:)

Hahaha! Kila utakayemuuliza hapa atasema hubby wake anamfanyia hivyo. Hata wife wangu huwa namsikiaga akijifagilia kwa wenzie jinsi navomsaidiaga! Kalaghabaho! All men same same. Nimesoma boarding school tangu O-level mpaka chuo, sikuona tofauti yetu. So, women, keep on cheating yourselves.
 
si kweli Xpin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom