Siwapendi mods.

Da tupo tofauti,mie nawakubali sana mods wapo makini sana,nauhakika serikali ikiwa na wafanyakazi kama walivyo ma-mods basi tz ingekua zaidi ya marekani

kwani serikali ina tofauti na hawa?
Mkono mrefu wa serikali uko kwa vibaka wa mitaani na wanaouza gongo ili wajikimu, na mods vivyo hivyo, rungu lao la ban huwa na nguvu sana kwa akina sie!
 
Narudia tena haujalazimishwa kuwepo hapa.Kama huwapendi nenda sehemu ambayo hawapo.

sina shaka kwanini uliachika kwa mumeo wakati hata miezi mitatu ya ndoa ulikuwa hujafikisha. Majibu ya kinaa kama haya, ati kama hupendi uondoke, hata huyo mume angekuwa zoba kiasi gani?
 
Huyo mume uliyenipa akaniacha alikua baba yako ama?
 
siwezi kuwa na mama kama wewe, ni aheri niwe yatima.
Yani siku niwe na shida uniambie nihame? Afu hata huyo babangu angekuwa boya kiasi gani asingeangukia kwako... Hufai chukuchuku wala kwa mchuzi!
 
Hahahaha. . . eti mama kama mimi? Jeuri hiyo utaipata wapi?

Nwy acha kutapika maneno, kama huna hoja tulia na jibu yale unayoweza badala ya kuingiza vitu visivyo na kichwa wala miguu kudhihirisha ukilaza wako.
 
siwezi kuwa na mama kama wewe, ni aheri niwe yatima.
Yani siku niwe na shida uniambie nihame? Afu hata huyo babangu angekuwa boya kiasi gani asingeangukia kwako... Hufai chukuchuku wala kwa mchuzi!

huyu ajuza anapapatika kwa mods sana!angalia threads za complaints vs mods utaligundua hilo.mkuu hawa mods wamekuwa polisi na sio waanzishaji au waendelezaji mijadala.
 
Cha kupapatikia hapo nini?
Pumzisha masaburi, tumia kichwa kufikiri!!
 
Hivi mnajua kuwa kilaza yupo ili kipanga aonekane?
Bila kilaza hakuna kipanga.
 
1.Kunywa sumu. 2Kadumbukie baharini. 3. Ondoka jf. 4. Wakubali vile walivyo. Nimekupa choices.
Jamani mi ningekuwa karibu yako ningekuchumu, aise hus umempatia. Amefikaje humu kama hawapendi wanaomuongoza? Unapendaje kusafiri wkt humpendi dereva? Nwy, option ya ziada aanzishe forum yake ili yeye awe mod na awe mchangiaji.
 
huyu ajuza anapapatika kwa mods sana!angalia threads za complaints vs mods utaligundua hilo.mkuu hawa mods wamekuwa polisi na sio waanzishaji au waendelezaji mijadala.

kawaida yao hawa. Shobo mbaya sana, hasa kwa mama mtu mzima kama huyu...
Ningekuwa Makamu wa Rais humu JF ningesema 'Unanchekesha'!
 
Jf ukitaka kuwa Premium member pesa yako tu..nchi hii kila sehemu pesa ndio inaongea mkuu.
 
Back
Top Bottom