Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Mar 31, 2023
2,077
4,673
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.

Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.

Nisiende mbali sana nataka kufanya DNA kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
 
DNA, kama uwezo upo, nenda Nairobi au wakuelekeze jinsi ya kutuma sample kama inawezekana.

Nadhani kwa sasa, DNA inapaswa kuwa takwa la kisheria kama cheti cha kuzaliwa, ilazimishwe ifanye ndani ya siku 30 za uzazi.

Ijulikane moja mapema na wajue pia kuwa akiwa kuwa kisima cha kijiji basi atahudumiwa na kijiji.

Koo moja inachanganyika changanyika mpaka inakuwa tabu!
 
Nobunaga
Ushauri wako tafadhali
Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭

Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?

Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
 
Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭

Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?

Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
Ndo maana nimekutag Nobunaga ...,Barikiwa sana
 
Thamini sana familia yako na mke wako ukiwa hai angalau wajivunie walikuwa na baba na anawapenda na kuwajali hawa ndugu sio wa kuwaamini sana ukishakufa ndio mambo kama haya hutokea mara hawa watoto sio kama damu yetu mara vile mishowe watatelekezwa wawe ombaomba.

Mimi nawaonea huruma hao watoto tu isee
 
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu km inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbn kwajili ya kusaidia ulezi sababu jmaa bdo ni wadgo.
Nisiende mbali sna nataka kufanya dna kwahawa wtt kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Unawapima ili iweje kaka Yako alikuambia kuwa akifa uwapime au ni umbea unakusumbua .au una mipanga mibaya nyuma ya pazia
 
Back
Top Bottom