Siwapendi mods.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Sababu ninazo, ila sitazisema kwa sasa.
Kifupi siwapendi hawa jamaa kwa ujumla wao!
Naomba hisia zangu ziheshimiwe...
 
Ni kweli na Rais wetu humu ni MMMJ......hajawahi kula ban hata siku moja na ana post kama 30,000 hivi

nahisi kuna makamu wake, anaitwa FF, kuna siku trafiki mmoja alizuia msafara wake, bosi wake alimfokea sana. Na msafara ukaamriwa uendelee na safari...
 
Andare, una habari Mods ni wana wa adam kama sie! wanaweza kuwa na mapungufu yao, nadhani ungeweka wazi sababu ya wewe kutowapenda ili tujue jinsi ya kusaidia muishi kwa mapendo. Kama wamekosea basi sote tuwaambie jamani mfanyavyo sio. Na kama umevunja utaratibu tukukumbushe, nina wasiwasi unaweza ukaweka hiyo sababu yako hapa hadharani halafu na wengine tukakuchukia na wewe!
 
Back
Top Bottom