Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

kuna watu wanatafuta umaarufu tu ila hata mimi sioni umuhimu wa hitisho kuwa nalog off au mia, labda wenyewe watueleze zaidi maana naona haya maneno kama yana umuhimu basi wayapeleke ktk signature zao.
ukiona manyoya kashaliwa huyo.wenye wivu wajinyonge.Nalog off
 
kuna mwingine alikuja na 'yo' (pfuuu boring)
mi naikubalia sana 'mia' imeshika kasi humu nadhani ndo maana na wengine wanakuja kimtindo (yale yale mwenzio akiuza chipsi vumbi ukaona anafanikiw na wewe kwa nini usifungue kibanda pembeni yake uuze bana hizo viepe vumbi?)
 
we endelea kuipenda hujakatazwa. hii style sijamuiga mtu,nilienda kwa mganga ndio kaniambia niwe naandika hivi.mwenye wivu ajinyonge.Nalog off
 
we endelea kuipenda hujakatazwa. hii style sijamuiga mtu,nilienda kwa mganga ndio kaniambia niwe naandika hivi.mwenye wivu ajinyonge.Nalog off
na mimi sijasema nimekatazwa.....naendelea tu kuipenda
mshipa wa wivu mi sijazaliwa nao.
 
mimi siko hapa kukufurahisha wewe,naandika kile ninachokipenda,uneridhwa ama hukuridhishwa kimpango wako,nitaendelea kuandika hivyo bila chenga.Hilo lote donge hilo,wanaona donge hao,hao hao wachekeni,hao hao wazomeeni.Nalog off

Bujubuji alikuwa hajui kuwa hiyo ndiyo ID yako..................... We mpotezee tu kwa leo, naona keshajifunza kutoingilia uhuru wa wengine......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom