Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Nimewaona wadau baadhi ila kuna mmoja (na atakuja hapa) amekuwa kila akitoa mawazo yake bila kujali uzito wake wa hoja lazima aseme hicho unachokiita 'upumba(fu)vu, bahati mbaya bado utamuona anaendelea kuwepo na kuongeza michango bila kusahau hilo neno zuri unalolichukia
ndio nimeshakuja hapa na nitaendelea kulitumia hivyo hivyo bila chenga.Nalog off
 
Huo msemo mie nimeupenda.... Sema alouleta anakosea kuutumia,
ilitakiwa autumie pale tu akimaanisha. Kama vile ambavo Klorokwini
akisema ana log off, kweli ana log off!! Itabidi tumpe seminar Washawasha
ambae ndo yupo considered ni trade mark yake...

Bjbj genueinely ndo na "log off"
huyu hamaanishi kuwa anachukia ila anataka kuingezea umaarufu hii trade mark iendelee kuuza.Nalog off
 
Kipindi cha nyuma kulikuwa na mwingine aikuwa akimalizia na "Ndo hiyo"
Halafu screen name yake ilikuwa "Habari ndo hiyo"
Amepotea kabisa huyu,labda yuko kwa jina jingine.
 
Ni swaga lakini inaboa ndo maana watu wanakerwa, kwa sababu ni kama haina maana, kama unataka swaga basi uwe creative utoke na kitu cha ukweli sio kujiandikia chochote ali mradi watu wajue upo. hata mimi huwa inaniboa kwa kweli sitaki kuwa mnafiki.
sasa ukikerwa mie ndio nikuridhishe? siko hapa kuridhisha watu kama nyie,huipendi ipotezee,unasema niwe creative ili nitoke? si ndio nimeshatoka teyari mpaka wewe unaidiskasi hii trade mark,ukiona manyoya ujue kashaliwa.Nalog off
 
kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?
buji mpendwa sioni kama pako na haja ya ww kukasirika,ni msemo tu kama ilivyo misemo mingine umesahau kua jf ni kisima cha maraha na maburudani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom