Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Mwenzio ndio kavaa hapo... anasikia joto!!!. nashut down!!.
JF raha tupu
Mwenzio ndio kavaa hapo... anasikia joto!!!. nashut down!!.
pamoja sana tu..na log offniko nyuma yako AMINATA!
Klorokwini umenivunja mbavu.teh teh teh shakira anakata mauno ile mbaya
umeonaeee ... na log offumekosa topic za kuposti,kama nakubore si umuweke kny ignore list?
bamdogo ubarikiwe kwa maneno yako yalio jaa busara,bwana aende kuitakasa nafsi yako aingize nguvu zake za maajabu hadi kwa mkono ulioumia auponye kwa damu yake takatifu baba ameni! nalog on au on!!Bujubuji alikuwa hajui kuwa hiyo ndiyo ID yako..................... We mpotezee tu kwa leo, naona keshajifunza kutoingilia uhuru wa wengine......
ah! Ndeko nangai papa mopao,vipi kwema? wagema ulimbo unawaona wanavyochonga ngenga? Nalog off
papaaa mutu ya pesa
Bujubuji alikuwa hajui kuwa hiyo ndiyo ID yako..................... We mpotezee tu kwa leo, naona keshajifunza kutoingilia uhuru wa wengine......
hahaha we peke yako ndio mwenye maana.Nalog offNyie wote hamna mana. Nalog in.
mmesahau maji ya kunywa koo lishaanza kukauka.Nalog offheheeh unajua huu msredi unavyokwenda lazima tuwapatie wachangiaji burudani, afazali na DJ wa zarura umehuzuria.
bandika bandua mpaka kuche
log off mzee usiogope.Nalog offNalogo off.
teh teh teh burudani lazima iwepo hapa haiharibiki kituheheeh unajua huu msredi unavyokwenda lazima tuwapatie wachangiaji burudani, afazali na DJ wa zarura umehuzuria.
bandika bandua mpaka kuche
haupindui wala ninil,hili trade mark ina sacrifice za wachawi wote unaowajua wewe lol.Nalog offKwema kaka! Nimeona baba, lkn sebene imenifanya nisipate kero kutoka kwao!
Napress Enter nyote hapo..(Nataka nimpindue Nalog off!! hahaha)