Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:
Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!