Sitaki wa kike...!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:

Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!
 
Usi withdraw mkuu. Mtangulize Mungu ktk kila jambo. Sio wote wako hivo, unaweza pata aliyetulia vizuri. Siku hizi life is a two way traffic, hata wa kiume anaweza kukuzingua ukakufuru.
 
kila kilichoumbwa kwa ajili ya kuliwa lazma kiliwe!!!endelea na maombi mungu akujalie upate mtoto wa kike,na ongeza katika maombi yako,mungu amuongoze mtoto wako huyo na amuepushe na kukunwa kabla ya ndoa,(jitahidi katika malezi na mavazi ya mtoto wako mtarajiwa)mambo yote yatakuwa poa
 
hao wakiume wakiwa mashoga? malezi ni changamoto na haijalishi una watoto wa kike au wa kiume.
 
kwani hao watoto wa kike wanajikuna wenyewe?? acheni nature ichukue mkondo wake.
 
wakati ukiomba kuwithdraw ombi lako, jiulize hao watoto wako wa kiume unawaleaje?
Usije ukajikuta unakufuru...
Muombe Mungu akupe hekima ya kulea watoto wako hao wakiume....wanaweza kugeuka kufanya mambo ya ajabu ukatamani watoto wakike.........

Kwenye malezi muombe Mungu hekima, ombea watoto wako pia....
 
kila kilichoumbwa kwa ajili ya kuliwa lazma kiliwe!!!endelea na maombi mungu akujalie upate mtoto wa kike,na ongeza katika maombi yako,mungu amuongoze mtoto wako huyo na amuepushe na kukunwa kabla ya ndoa,(jitahidi katika malezi na mavazi ya mtoto wako mtarajiwa)mambo yote yatakuwa poa

Sikatai kuliwa. Issue ni: kinaliwa wakati gani? na nani? kwa utaratibu upi?
 
Aaaaaahhhh kaka nature haina mkondo wala taratibu. .....acha kumtolea jicho mtoto wa mwenzio ......mkubwa mwenzio
 
withdraw tu baba nannhii..kulea mtot wa kike tabu sana
au mwambie sir god akupe ka kike ka mwisho mwisho
 
Wabongo tunapenda tu udaku udaku,haka ka thread kamewekwa nau nau!ny ndo bongo yetu.Mku,ako ka binti kamekosea sana usishang'ae leo leo kitu kinapandikizwa o nyumbani kinanuka,coz kametumia mwanvuli wa kwenda Kusifu na Kuabudu tena kameingia mpaka chechi,kumbe ni zuga!Bora hata kasingeenda kanisanii.KANA PEPO HAKO.Usiwithdraw mku,bora awepo afanye ivyo anaweza badilika,kuliko kutokuwepo kabisaa.Ushauri:Ebu kashauri kasirudie tena,mbaya zaidi J2!au muite mushua akakanye
 
duh, watoto wa kike tabu sana i remember when I was 16, kuna kabinti nilikua nakatafuna kila jumamosi saa 9 tena chumbani kwake maana mother wake alikua mtu wa vikao kila hiyo siku na dingi wake alikua mkoa mwingine kabisa.... Ni aibu sana hivi vibinti mkuu nakushauri omba upate hicho kibinti ukijengee mazingira ya urafiki na usiwe mkali kwake hapo itakua kujua kama kuna kitu tofauti kimetokea kwa binti yako ghafula
 
Aisee hivi huyo mkeo mlianzana vipi? Mkeo na yeye si alikuwa binti wa watu? Siku uliyompata hakuwa ametoroka nyumbani?
 
Usi withdraw mkuu. Mtangulize Mungu ktk kila jambo. Sio wote wako hivo, unaweza pata aliyetulia vizuri. Siku hizi life is a two way traffic, hata wa kiume anaweza kukuzingua ukakufuru.

Naunga mkono hoja.
 
kila kilichoumbwa kwa ajili ya kuliwa lazma kiliwe!!!endelea na maombi mungu akujalie upate mtoto wa kike,na ongeza katika maombi yako,mungu amuongoze mtoto wako huyo na amuepushe na kukunwa kabla ya ndoa,(jitahidi katika malezi na mavazi ya mtoto wako mtarajiwa)mambo yote yatakuwa poa

Naunga mkono hoja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom