Binti wa maombi Misa ya pili Parokia ya Buswelu nakutafuta

Namshakende

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
394
928
Bila ya kupoteza muda!

Binti uliyetoa maombi leo katika Parokia ya kanisa katoliki Buswelu, Mwanza, Misa ya pili, nakiri kusema umenikosha Moyo.

Sauti yako tamu kama Malaika wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu, muondoko /mtembeo ulio- fanya macho yangu ya zidi kukutazama, kubwa zaidi ni kaumbo Kako ka'kimisi. Umenifanya nitoe mchango mingi, ili tu, nikutazame vizuri.

Nasikitika kusema, juhudi zangu zimegonga mwamba hata nikalikimbilia geti la kuingilia/ kutokea kanisani japo nikuone, lakini hukuonekana.

Popote ulipo, Mimi "NAMSHAKENDE" nakutafuta kwa hali na mali, japo nipate mawasiliano yako.
 
Bila ya kupoteza muda!

Binti uliyetoa maombi leo katika Parokia ya kanisa katoliki Buswelu, Mwanza , Misa ya pili, nakiri kusema umenikosha Moyo.

Sauti yako tamu kama Malaika wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu, muondoko /mtembeo ulio- fanya macho yangu ya zidi kukutazama , kubwa zaidi ni kaumbo Kako ka'kimisi. Umenifanya nitoe mchango mingi , ili tu, nikutazame vizuri.

Nasikitika kusema , juhudi zangu zimegonga mwamba hata nikalikimbilia geti la kuingilia/ kutokea kanisani japo nikuone, lakini ukuonekana .

Popote ulipo, Mimi "NAMSHAKENDE" nakutafuta kwa hali na mali, japo nipate mawasiliano yako.
Acha janja janja kama imedhamiria kwa dhati na vigezo unavyo,kama ni muumini hai,kama sio tamaa imekusukuma kuleta uzi humu,kama utabahatika kuwa chaguo lake mrembo huyo,nenda kwa katekista mweleze nia na dhumuni la kumtafuta huyo mrembo.Utapata mawasiliano🤔
 
Wanaume bana yaani sauti tuu imekuvurugaaaa na ibada ulofanya haijakamilika, ndo maana wale wa dini ingine wanawake husali kivyao
 
Acha janja janja kama imedhamiria kwa dhati na vigezo unavyo,kama ni muumini hai,kama sio tamaa imekusukuma kuleta uzi humu,kama utabahatika kuwa chaguo lake mrembo huyo,nenda kwa katekista mweleze nia na dhumuni la kumtafuta huyo mrembo.Utapata mawasiliano
Nia ya dhati itoke wapi fisi huyo anataka tu kuosha rungu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bila ya kupoteza muda!

Binti uliyetoa maombi leo katika Parokia ya kanisa katoliki Buswelu, Mwanza, Misa ya pili, nakiri kusema umenikosha Moyo.

Sauti yako tamu kama Malaika wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu, muondoko /mtembeo ulio- fanya macho yangu ya zidi kukutazama, kubwa zaidi ni kaumbo Kako ka'kimisi. Umenifanya nitoe mchango mingi, ili tu, nikutazame vizuri.

Nasikitika kusema, juhudi zangu zimegonga mwamba hata nikalikimbilia geti la kuingilia/ kutokea kanisani japo nikuone, lakini hukuonekana.

Popote ulipo, Mimi "NAMSHAKENDE" nakutafuta kwa hali na mali, japo nipate mawasiliano yako.

Kama ni mke wa mtu?
 
Back
Top Bottom