Sita Aunguruma Ikulu

Sidhani kama yupo mtu msafi ambaye hana harufu ya mafisadi.


magari+ya+kikwete.jpg

Bongo tambarare.....Hakuna ufisadi. Si unaona STJ ilivyolamba rundo la majani ya ng'ombe? CCM OYEEEE!!! Vasco Da Gama OYEEEE
 
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...

My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.

MJ


mbona magazeti ya rostam azizi hayajaandika ?
 
Nyie bwabwajeni tuu mtaaalamu mwenyewe JK ameshapiga mahesabu yake safiii.....endeleeni kujikomba ikulu tu mwisho wa yote sita nje kama gamba kwa kukiua chama na EL nje pia kama gamba. ufisadi..then Membe, `Asha au `mwinyi mwendo mdundo ikulu watu weeeweeee

Hapo ndipo namkubali JK siasa jamaa anaiwezaaaa anawashinda wote wanabakia kujigongagonga tu kwake ahah aahaaah...
 
magari+ya+kikwete.jpg

Bongo tambarare.....Hakuna ufisadi. Si unaona STJ ilivyolamba rundo la majani ya ng'ombe? CCM OYEEEE!!! Vasco Da Gama OYEEEE

Huyu bosi kaonyesha njia ktk kupiga vita m v-8 hasa ukizingatia sie ni wafugaji na wakulima, na hapo chini ya majani yawezekana kapakia makombo ya kitimoto.
 
Huyu bosi kaonyesha njia ktk kupiga vita m v-8 hasa ukizingatia sie ni wafugaji na wakulima, na hapo chini ya majani yawezekana kapakia makombo ya kitimoto.
Vipi anayetumia gari hii alichukuliwa hatua? Hapa kwa kweli amevuka mipaka, ametudhihaki wananchi walipakodi wa njii hii.
 
Back
Top Bottom