Sita Aunguruma Ikulu

Sitta, Malecela, Mwandosya, Lowassa, Sumaye, n.k wote wachukue wachukue fomu mwakani,ili kuvuruga chama....mwisho wa CCM utaletwa na wanaCCM wenyewe!!
Hawajipendi...hakuna atakayejaribu ila ataanguka kwa aibu
 
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...

My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.

MJ
Wacha vituko wewe... amemuungurumia nani? na nani hao waliomsikia?
 
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...

My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.

MJ

Kwa hiyo wewe ulikuwepo wakati akisema haya?
 
Pamoja na mapungufu yote ya SITTA , bado anabaki kua kiongozi mkweli kulinganisha na wengine kule ccm , daima ameonesha tofauti kubwa kimtazamo kulinganisha na JK, Kwangu ni kiongozi mahiri kupata kutokea kwa miaka hii mitano ndani ya ccm.
maneno yake yamejaa hekima, daima amekua aakitamani kuona wanaoiingiza nnchi kwenye lindi la umasikini wanaishia jela .
 
Hatuhitaji mtu safi kutoka sisiem kwa sababu hayupo, tunachotaka ni kupata mtu mwenye nia nzuri na hii nchi na awasaliti wenzake na kujipendekeza kwa wananchi hapo ndipo mambo yanaweza kwenda sawa.

Kinyume cha hapo tutaimba mpaka tutachoka hawa watu hawasikii kabisa, na wameshaona wanachi hatuna nguvu hivyo wanajifanyia mambo jinsi watakavyo.
 
hahahha jamani duuu kweli Tanzania kuna mambo!! SITA WASHA MOTO BABA!!
 
Nasema kwa dhati tena bila hofu kuwa, Samwel Sitta ni kiongozi mwenye akili timamu ndani ya nchi hii. Sijui kama wengine wako timamu
 
Wajameni,
Kwa viongozi walioko uongozini sasa hivi, SITA is much better na anaonekana kustushwa na jinsi nci inaendeshwa nod maana hata alidiriki kumwambia mkulu wa kaya hadharani kuwa awe mkali hata kidogo ili wananchi warudishe imani kwa serikali. Na kama haya maneno mazito amemwambia hadharani nina imani amemwambia mazito zaidi wakiwa wawili. Huyu ndo mwokozi kwa sasa anaweza kulinusuru taifa.
 
Hizo pesa za EPA zilitumika kwenye kapeni ya ccm, hizo kampuni ni jina tu. Sasa mnategemea JK amfunge nani? Na uchaguzi wa mwaka huu sijui wataiba wapi. Mimi nilisha sema awali kwamba Rostam ndo alikua muweka hazina wa CCM na hizi skendo zote zinamlink yeye. Sita anaongea pumba tu, hata yeye hana maana yeyote. Bora Magufuli.
 
Mh Sita i concur you! Washa moto nchi hii ni yetu sote kama huyo "WaKubembea" anashindwa kufanya uamuzi na aondoke! na ole wenu mumkolimbe Mr six hapatakalika humu nchini!

pasikalike kwa ajili gani..who is Sitta by the way?he is just another bogus tu...non stratergic makelele tu na kulialia kutaka huruma ya wananchi .tuko busy na mambo yetu sisi kama siasa hawezi apumzike tu
 
Jahazi linakwenda mpera mpeara linakoelekea hakuna ajuwae,let wait and C.kuna mambo mawili ni kusuka au kunyowa.
 
Nasema kwa dhati tena bila hofu kuwa, Samwel Sitta ni kiongozi mwenye akili timamu ndani ya nchi hii. Sijui kama wengine wako timamu

Ni Alhaji Luteni Kanali Mstaafu, Katibu Kata mstaafu, Katibu tawala Mstaafu, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Mkuu wa Mkoa Mstaafu na sasa ni katibu mkuu wa chama cha Maulaji YUSUF RAJAB MAKAMBA aka Baba Januari na Sofia Mtoto wa Simba hawa pekee ndo wako timamu
 
..waache kutuzungusha hawa.

..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.

..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.

Sidhani kama yupo mtu msafi ambaye hana harufu ya mafisadi.
 
Back
Top Bottom