Sita Aunguruma Ikulu

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...

My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.

MJ
 
Mh Sita i concur you! Washa moto nchi hii ni yetu sote kama huyo "WaKubembea" anashindwa kufanya uamuzi na aondoke! na ole wenu mumkolimbe Mr six hapatakalika humu nchini!
 
..waache kutuzungusha hawa.

..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.

..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.
 
..waache kutuzungusha hawa.

..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.

..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.

Nani Msafi ktk CCM?
 
Chuma said:
Nani Msafi ktk CCM?

Chuma,

..wengi ni wachafu huko CCM tukianza na huyu JK. pamoja na hayo, CCM kama chama wanaweza kutuletea mtu mwingine na sisi wananchi tukiona ni msafi tunaweza kumpigia kura.

.. Raisi wa Tanzania siyo lazima atoke CCM tu.vyama vingine vya siasa kama CUF etc vinaweza kusimamisha mgombea ambaye wanaamini ana sifa za kutuongoza ktk harakati zetu za kujiletea maendeleo.

..zaidi nashauri vyama vya upinzani vijizatiti kwelikweli ili viwe na majority bungeni na kuzuia CCM wasitoe Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri.
 
dawa ya kurekebisha system chafu ya Tanzania ni kuwa na waziri mkuu kutoka upinzani na speaker kutoka chama kingine cha upinzania (DR slaa atafaa sana kuwa speaker)
 
dawa ya kurekebisha system chafu ya Tanzania ni kuwa na waziri mkuu kutoka upinzani na speaker kutoka chama kingine cha upinzania (DR slaa atafaa sana kuwa speaker)
Mwambie arekebishi kwanza matatizo chadema? speaker too high for him
 
Mimi naona tatizo la msingi ni katiba yetu yenye virakaviraka kama suruali ya pampula wenzetu kenya wametengeneza rasimu ya katiba na kuwapelekea wananchi waisome na waitolea mapendekezo ambayo watayapigia kura baadaye,hilo ndio akina Mwakyembe mabingwa wa sheria za Katiba wanatakiwa walileta jamvini,bila katiba mpya wote tutaonekana WEHU na WENYEWIVU na pia WAVIVU WA KUFIKIRI
 
Inamaana mbowe na slaa wanaaguka na kuzimika ofisini? wapeleke mirembe..kwasababu huna pesa za kwenda nje. ha ha ha

Mirembe kote kwa nini? hii issue ya bagamoyo tu wakapungiwe na shehe kokoro hazaruni
 
Sitta, Malecela, Mwandosya, Lowassa, Sumaye, n.k wote wachukue wachukue fomu mwakani,ili kuvuruga chama....mwisho wa CCM utaletwa na wanaCCM wenyewe!!
 
Back
Top Bottom