Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 276
Waalimu wa seminary wapo 'committed'.Jamani naomba mwenye uelewa wa kwa nini Seminari za kidini (dini zote) wanafunzi wake hufaulu sana kwenye mitihani ya kitaifa? (CSEE & ACSEE) nimefuatilia matokeo yao kwa muda mrefu, naona ni watu ambao tunapaswa kujifunza toka kwao.
** Viongozi wetu wa dini hebu tupeni siri ya mafanikio.