sekagali
Member
- Mar 28, 2016
- 94
- 94
Si kweli seminari hawaibi mitihani.sema hufundishwa kwa asilimia 100,hulishwa material kama watoto wa ndege, hawajui kujitafutia ndo maana wengi wao wakienda shule za serikali wanafeli. kwa kuwa kule hakuna tena mambo ya kuandikiwa notes ni mwendo wa discussion tu. pia wengi wao hujisahau kwa maana serikalin hakuna mchujo ukianza fm 5 nilazima umalize fm.6.si hivyo tu pia serikalin kuna uhuru mkubwa compared to seminary schls.discipline in govern.schools is very looseNyie karirini juzuu 36 wenzenu wanafaulu, eti kuiba mtihani! Hata sisi Azania tuliibaga mitihani ya six na zero zilikuwa kibao, tambua hata mtihani ukivuja mwenye akili ndio atafaulu sababu anavijua
Mimi ni mwalimu, nimesoma shule za ma-sister; kusimamia mitihani katika shule za seminary ni raha sana kuliko shule nyingine wana nidhamu ya hali ya juu sana.