Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.

Kwa uelewa wako ulivo mdogo ni ngumu kuona mantiki kwenye thread cha maana endelea kufuatilia michango ya wengine unaweza kuambulia kitu!!
 
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.

Kwa maana nyingine,haikuwa siri,ilikuwa dhahiri Mkwe.re ndo alikuwa Target ang'oke (Na ata ng'oka tu,mark my words)
 
Boss ni kweli uliyoyasema. Lakini uwe unafanya references kidogo kwenye dictionary. Naaibika kuona makosa uliyonayo Highlander!


Bwana wee; si unajua tena hizi luga za watu tunaungaunga hivyovyo. Waambie Jf waanzishe foram ya kisafwa uone moto...


Kikwete SI dikteta hata kidogo!
Tatizo la Kikwete ni indecision; he is undecisive.
na managemet ya watu ni decision-making,
acurate, timely, decision-making.
Unapewa sources of intelligence kukuwezesha kuamua
at the snap of a finger.

He is undecisive. Why?
na hili ndilo limeharibu sifa yake.
na nina hakika ataingia katika historia ya Tanzania
vibaya kwa sababu hii tu!

management = accurate, timely, decision making
bad(inaccurate, late) decision making = bad management

Futa kabisa neno dictatorship. Ungesema he is too soft, labda hapo...
 
Kuisoma ni jambo moja kuichambua je ; anaweza? Angalijua kuichambua angeilifanyia mizengwe, tushukuru uelewa wake kuwa mdogo, kwani mambo mangapi kayafanyia mizengwe aliyokuwa na uelewa nayo? Hata kura anazifanyia mizengwe. Kumbuka CAG wakati anamkabidhi taarifa hii alimwambia ni nzuri mabaya yamepungua kuliko mwaka uliopita. Akauliza swali kuwa ina maana pesa zisizoonekana zimeibiwa? CAG akamjibu wakati mwingine ni kutoweka vizuri viambatanisho vya malipo baada ya ukaguzi hua watendaji wanavipata tena viambatanisho na kutuonyesha. JK alikuwa na hakika ya kuwa taarifa ya CAG inamfagilia. Uchambuzi wa wabunge makini wa CCM na CDM kwa pamoja ndio ulioibua yaliyojili. Usimsifie bure JK kama mtu mwenye mapenzi pofu anayemwita mwenye chongo kuwa kengeza

hapo sawa mvivu wa kusoma alishikili briefing aliyopewa akaruhusu. Pole yetu wTZ
 
Wanaomtetea JK kweli ni wavivu wa kufikiri. JK anakumbatia waovu na hilo halipingiki! Sema yote ukweli unabaki palepale!
JK anataka ushahidi beyond doubt kabla hajaact. alipoingia madarakani aliwahi kumfuta utumishi whistleblower kwa ushahidi wa kupika akagundua kosa baadaye. toka hapo yuko cautious kutoa maamuzi yanayohusu future ya mtu.
 
utumbo mtupu....walotoa hoja ya kumwajibisha rais ni chademaa kwani ccm walkua 3 ? 4? ndio walio saini ule waraka...kama hujui siasa basi ccm wameteka hoja yenu sasa JK atasafisha baraza lake na cc ayke wame ridhia na sifa ni yake... kwani JK alipokea ripoti ya CAG na kuamuru ifanyiwe kazi , na pia alitataka wabunge waijadili...sasa maneno mengiii kama debe bovu...pia JK alitamka ripoti hii isipelekwe kwake tu bali kwa Manumba Pia ili hatua zichukuliwe kwa wabadhirifu.. ripoti ilitolewa march mwishoni na april ilisomwa bungeni..leo unasema JK anakumbatia wabadhirifu..tuwe wakweli..JK ni mwazi kweli kweli kwani haya yasingeweza kutokea wakati wa Mkapa kwani watu walitishwa na kutishika...yalipita mengi zaid kwa mkapa , wakwepaji kodi wauza samaki...madini kutolewa kiholela na mrahaba wa 4%...mashirika kubinafsishwa kifisadi...ununuzi wa rada ya kitapeli...ununuzi ndege na maneno kama tutanunua hata kama tutakula majani...NBC kugaiwa kama bure kwa makaburu......migodi ya kiwira mkapa kujichukulia mwenyewe....EPA ilikua mwishoni wa urais wa mkapa...lakini hakuna aliweza kuhoji kwani mkapa alikua anatisha...kuna siku mwandishi mmoja alimuliza mkapa kwamba anatuhumiwa kuchukua rushwa mkapa akangaka kama simba yule mwandishi alijiharia nadhani..na mpaka leo sijamuona tena,,sijui yupo wapi..na ukweli tangu siku hio mkapa hakuongea tena waandishi wa habari wa kibongo..

sasa Tumpe sifa JK..ameweza kunyamaza mafisadi wanapo fichuliwa wala hajawahi kuwa tetea ...bunge limekua huru zaid kuliko wakati wote wa nchii magazeti na vyoboa vya habari vimekuwa huru zaid mpaka vinamtukana wao wakidhani ni udhaifu lakini ni sifa ya uongozi wa kuwa na subra,,, hivyo hakuna ccm ambaye atakubali lumwangusha rais wake kwani kufanya hivyo rais atavunja bunge , na uchaguzi utaitwa na bila ya shaka upinzani utakuwa mbele ya turufu na ccm wanaweza kupigwa chale ..hivyo hawawezi kuchimba kaburi lao



Yes and No.
Blue yes, red no.
 
Stories zingine zinachekesha sana. Kutokana na ubovu WA katiba zetu ya (Tz na CCm) ambazo zinampa Rais Kikwete Kofia zote za uongozi, sionI jinsi gani hii hoja inawezekana.
 
Haa haa Rais anatuonyesha kwamba ktk uongozi wake hatumii katiba kwani anapotaka kufanya mabadiliko yeyote ktk nchi lazima akashauriane na baraza la ccm yaani hii nchi inaendeshwa kichama..?
 
wabunge wana uwezo wa kumuwajibisha waziri mkuu peke yake na wala sio raisi, raisi kachaguliwa na wananchi, they cant just decide to vote a vote of no confindence to the president in the situation like that
 
Source Nipashe

Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.

Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.

Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais

My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza

Mkuu mimi sijaelewa kabisa. Kwanza siri hiyo sijaiona halafu kukosa imani na WM kunamhusu vp JK na urais wake
 
Hv kikatiba kumuondoa WM kunahusu au kuathiri vp urais wa JK. Mim nadhani cijakuelewa.
 
Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?
Kuwa Mpole bac Riz1.
Kikwete sio Dikteta bali hajui wajibu wake kama Rais wa Nchi. Rais anayejua wajibu wake hufanya maamuzi, kwa kuwa hawezi kufanya maamuzi nina question sana uwezo wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom