Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

Source Nipashe

Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.

Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.

Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais
Lakini mbona ile kauli ya Jk 'upepo unapita' ilikuja baada ya hoja ya Zitto?
 
Source Nipashe

Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.

Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.

Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais

My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
.......Kama ulikua huna la kuandika ni bora ungekaa kimya tu,au just unataka ujue ni watu wangapi wameisoma hii Thread yako?wakati mwengine ni bora tu uwe msomaji kama huna la kuandika kuliko kutuandikia huu utumbo.Wewe nani haswa kwenye Nchi hii impaka ujue yote hayo?hata lile ambalo lipo kwenye nafsi ya JK? Una uhakika na hayo ulioyaandika?We cannot be fooled so easly..
 
Achana kusumbuana na magamba ..Wagumu sana hao mazee!
hata wewe ritz una mawazo ya kidikteta, kama kikwete! Wabunge wa ccm wanaona uozo wa serikali ya JK, lakini wewe huoni. JK anaujua umakini wa Chadema, na mkakati wake ni kubaka hoja za Chadema, na kuzifanya za ccm bado huoni tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom